Hongera Lema, ukweli hata kama mchungu shuruti usemwe


Kwa hivyo CCM ndio wana siasa za wafia tumbo.
 
Hii nchi ni tamu, basi tu! Ndio maana lema na wengine wana lia kwa wakati wao na wengine wakati ni ukuta kwao

Ndio maana mafisadi wamekopa trilioni 20 ndani ya mwaka kwa gia ya private sector. Mnakataza watu wasifanye siasa halafu kiuchumi na kisiasa.
 
Unamaanisha mbowe Hana akili?

Nani kasema mbowe hana akili?. Mbowe kakosea kuwaamini mafisadi wa CCM akidhani wana nia njema kumbe wanamvuta mpaka 2025 halafu wamuachw kwenye mataa. Mbona zanzibar walifikia muafaka na kura za maoni zilipigwa kuanzisha umoja wa kitaifa lakini kilichotokea 2015 na 2020 utadhani hakujawahi kuwa na maridhiano Zanzibar.
CCM wanaiona Tanzania ni mali yao hawawezi kukubali kuiachia kwa hali ndogo.
 
Mwambieni arudi nyumbani, Lema mhuni tu hamna kitu pale. Anyeweza kusikiliza Lema naye hamnazo.

Arudi wapi?. huku kwenye mgao wa umeme na maji?. Huku kwenye deni la trilioni 91 asilimia 56 ya GDP. Akae huko huko hakuna issue huku zaidi ya shida na ufisadi wa CCM ya akina makamba wasiokufa.
 
Mwambie mungu wako aliemuondoa Magufuli bila kumwaga damu aiondoe ccm!

Mungu haitaji kuambiwa atafanya kwa wakati wake. Ila CCM ipo madakani kwa sababu ya jeshi, polisi, bunge na usalama wa taifa basi.
 
Ka
Kwani yeye sio fisadi?

Kauilize PCCB, mimi sio PCCB. Usifanye mambo kwa hila, watu wamepiga deni mpaka trilioni 91 huku kila siku tozo za miamala wanachukukua. Lakini kwa upofu wako wa CCM unajaribu kuleta propaganda kwa Mbowe ambaye alizushiwa kesi ya ugaidi, aembuse awe fisadi si watammaliza kabisa.
 
ni kweli kumbe katiba hii ni nzuri namna hii hakuna haja ya kuibadili mpaka lema mkazi was Canada anainukuu.
 
Mungu haitaji kuambiwa atafanya kwa wakati wake. Ila CCM ipo madakani kwa sababu ya jeshi, polisi, bunge na usalama wa taifa basi.
Sasa mbona mungu wenu hawafurahishi kama mnavyosema aliwafurahisha kwa magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…