econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Siasa sio kwa ajili yako... ni kwa ajili ya kila mtu na familia yake au maslahi yake... mifano ni mingi
Wewe ni daraja la wale wenye maslahi... ndio maana walikuwapo wale wanao itwa waunga juhudi... watu waka jiuliza, uwezi kuunga juhudi ukiwa huko huko??? Baada ya siku kadhaaa wakapewa vyeo! Hawa ni wana siasa wafia tumbo sio kwa ajili ya wananchi
Kwa hivyo CCM ndio wana siasa za wafia tumbo.