Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Kabisa, lakini watu wana taka kuhalalisha kuwa hakuna aliyesema tofauti...Mbowe amesema yuko tayari kumpigia Magoti mwenyekiti wa CCM
Lema anamuuliza Mbowe mnajadili nini kwa mambo yanayohitaji utii wa sheria kwa katiba hii hii ya 1977?
Kama vikao vile ni batili basi hakuna haja ya mwenyekiti kwenda kila mara kupiga magoti...
Kipindi kile cha JPM walilamba asali wote, wakapanda ndege kwenda mwanza na kurudi ktk sherehe za kitaifa
Leo ana lamba mwenyekiti pekee imekuwa nongwa kila siku vijembe...
Lema ana wageuka wenzie kisa wana kutana ubelgiji na marekani yeye canada ni kama wamemsahau, asali ina mpita