X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 May 2, 2019 #41 F9T said: mbona timu ya taifa haipi mafanikio kama afanyavyo akiwa barca? Messi nje ya Barcelona ni mwepesi sana Click to expand... Di Stefano, Cruyyf na Puskas walizipa mafanikio gani timu zao za taifa? Haya Giroud na Griziman wana medali za kombe la dunia kwahyo ni bora kuliko Messi?
F9T said: mbona timu ya taifa haipi mafanikio kama afanyavyo akiwa barca? Messi nje ya Barcelona ni mwepesi sana Click to expand... Di Stefano, Cruyyf na Puskas walizipa mafanikio gani timu zao za taifa? Haya Giroud na Griziman wana medali za kombe la dunia kwahyo ni bora kuliko Messi?
X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 May 2, 2019 #42 strongestbeliefsecret said: Ni sawa na kumsukuma mlevi kwa kidole tu, hana lolote zaidi ya kuzeekea klabu 1 tu Click to expand... Mbona wewe unazeekea nyumbani bila kuolewa?
strongestbeliefsecret said: Ni sawa na kumsukuma mlevi kwa kidole tu, hana lolote zaidi ya kuzeekea klabu 1 tu Click to expand... Mbona wewe unazeekea nyumbani bila kuolewa?
A man with no name JF-Expert Member Joined May 7, 2017 Posts 1,135 Reaction score 1,574 May 2, 2019 #43 strongestbeliefsecret said: Ni sawa na kumsukuma mlevi kwa kidole tu, hana lolote zaidi ya kuzeekea klabu 1 tu Click to expand... Record yake hiyo
strongestbeliefsecret said: Ni sawa na kumsukuma mlevi kwa kidole tu, hana lolote zaidi ya kuzeekea klabu 1 tu Click to expand... Record yake hiyo
T Teamanaconda JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 602 Reaction score 564 May 3, 2019 #44 XaviMessIniesta said: Mbona wewe unazeekea nyumbani bila kuolewa? Click to expand... Ila we jamaa unamaneno aisee,
XaviMessIniesta said: Mbona wewe unazeekea nyumbani bila kuolewa? Click to expand... Ila we jamaa unamaneno aisee,