XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
Di Stefano, Cruyyf na Puskas walizipa mafanikio gani timu zao za taifa?mbona timu ya taifa haipi mafanikio kama afanyavyo akiwa barca? Messi nje ya Barcelona ni mwepesi sana
Haya Giroud na Griziman wana medali za kombe la dunia kwahyo ni bora kuliko Messi?