Hongera Lionel Messi lapulga

Hongera Lionel Messi lapulga

mbona timu ya taifa haipi mafanikio kama afanyavyo akiwa barca? Messi nje ya Barcelona ni mwepesi sana
Di Stefano, Cruyyf na Puskas walizipa mafanikio gani timu zao za taifa?

Haya Giroud na Griziman wana medali za kombe la dunia kwahyo ni bora kuliko Messi?
 
Ni sawa na kumsukuma mlevi kwa kidole tu, hana lolote zaidi ya kuzeekea klabu 1 tu
Record yake hiyo
Screenshot_20190502-174838.jpeg
 
Back
Top Bottom