Hongera Lissu umefanikiwa kufichua udhaifu wa mifumo yetu ya serikali, bunge hadi mahakama. Mission complete

Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.

Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu .

Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu kupambana na KULETA mabadiliko chanya kuanzia mfumo wa ELIMU

Kisha akapambana KULETA mabadiliko chanya kwenye mfumo wa serikali kuanzia enzi ya tatu ya Mzee ben

Baadae akaingia bungeni Kwa Nia Ile Ile ya kutafuta mabadiliko chanya kupitia muhimili wa Bunge

Na Leo amehitimisha mission yake ndani ya mfumo wa mahakama.

Kitendo kuita mahasimu wake wa kesi kuwa mashahidi wake ni kuonyesha Nia Ile Ile ya kufunua udhaifu huo

Imeingia kwenye rekodi rasmi ya Taifa shahidi wa uhaini kuita waliotaka kupinduliwa Rais makamu pm Cdf wathibishe uhaini wake

Hii kesi imempa Lisu PLATIFORM nzuri ya mission yake na kumtangaza KITAIFA na kimataifa yeye na chama chake.

Mambo aliyoongea mahakamani asingepata nafasi hio MAHALI POPOTE au jukwaa lolote KWA upana urefu uzito na kina kiasi kile

Huu ilikuwa nafasi ya hao mashahidi kuonyesha hadharani uhaini wa Lisu Kwa uwazi kabisa

Kwa akili ya kawaida bondia amekimbiwa na mpizani wake jukwaani hivyo refa ataamua Nini ???

Hongera Tundu Lisu umekamilisha mission yako Kwa uzito mkubwa ndo maana imekuwa na FURAHA kuliko baadhi walioko uraiani

Kazi imebaki Kwa watanzania waliofunguliwa macho kuona udhaifu wa mifumo yetu na kuchukua hatua ya mabadiliko

Ni kama Mwalimu Nyerere alivyowafunua macho watanganyika miaka 60 iliyopita juu mfumo ule uzuri walimwelewa ngoja tuone Sisi kama tutamwelewa Tundu Lisu
Mission itakuwa accomplished pale atakapokula kitanzi hadi kufa!
 
Mission ya Lisu imekamilika mkuu

Suala na maamuzi ya kesi tumeshajua yanaweza kuathiriwa na mifumo gani

Hukumu ya kesi Haina uzito kama kazi kubwa aliyofanya lisu mahamani
kwahiyo" mlimtuma akafanye mission mahakamani? Yaani mnamuangamiza mwenzenu. Maana hata gerezani sio kuzuri.
 
Mbona mnajizima data Kwa maelezo ya lisu ,kingai na wale wote aliotaka lisu waje mahakamani kama mashaidi wanataka lisu anyongwe. Hapo Kuna kitu cha kujadili kweli au ni kujaza TU seva
Kama Nia ya Lisu ilikuwa kutetewa na kingai angemponda kwenye ushahidi wake mara kibao

Mbona huhitaji d hata moja kuelewa Nia ya lisu
 
Ukweli mchungu usiotaka kusikika na wengi ni kuwa jamaa amepoteza. Matarajio yake hayakwenda vile alivyofikiria.

Hata mashabiki wake leo walijitokeza kwa wingi mahakamani wakitarajia mbungi ya kukata na shoka ila kinyume chake jamaa kafika kapiga pressure point na kuwaacha watazamaji midomo wazi wasielewe pambano limeishaje na wengine hata wakitamani kuomba warudishiwe kiingilio chao maana hata round ya kwanza haijafika mtu katema mouth guard na kuvua gloves.

Yaliyobaki naamini hekima itatumika kwa maslahi mapana ya Taifa, ila sijaona ushindi wowote wa kujisifia na kujigamba.

Nadhani kuna la kujifunza kupitia mwenendo wa shauri hili kuanzia mwanzo mpaka leo hii. Kwa kifupi Dola haichezewi, na mabadiliko huja polepole kwa jamii kuongea lugha moja na sio kwa njia za ukaidi ama violence.

Tanzania haipo tayari kutia doa historia yake juu ya masuala mazima ya ulinzi na usalama wake, na ipo tayari kuchukua hatua zozote zinazowezekana na nguvu ya aina yoyote kulinda heshima yake.

Tusijazane ujinga kuwa imewezekana Madagascar, Libya, Kenya, Haiti na mataifa kadhaa basi na hapa tunaweza kutoboa kwa style hiyo. Tukiwaza hivyo tutajiumizana kuacha maumivu makubwa katika jamii na familia zetu lakini jambo hilo ni ngumi sasa kwakweli.

Tujifunze historia itatusaidia, kama ilishindika wakati wa late Mahiga wakati nchi ni changa kabisa kiulinzi, ni ngumu kutoboa sasa kwa nyakati zetu hizi ambapo vyombo vina ukomavu wa kutosha
 
Mission itakuwa accomplished pale atakapokula kitanzi hadi kufa!
Sijui dini yako lakini Kwa wakristo hukumu ya Kristo kuuwawa ilikuwa ni njia ya kupata USHINDI kwao

Kwa hapa ilipofika Lisu akinyongwa na akiachiliwa huru ni USHINDI kwake

Unajua kwanini hajawahi kukanusha maneno yake kuwa mahakama zimekaa kiccm ?
 
Sijui dini yako lakini Kwa wakristo hukumu ya Kristo kuuwawa ilikuwa ni njia ya kupata USHINDI kwao

Kwa hapa ilipofika Lisu akinyongwa na akiachiliwa huru ni USHINDI kwake
Okay. Sasa waambie familia yake huko Ulaya waache kumpigania aachiwe maana hata akinyongwa hadi kufa bado ni ushindi kwao na kwa Lissu!
 
Ukweli mchungu usiotaka kusikika na wengi ni kuwa jamaa amepoteza. Matarajio yake hayakwenda vile alivyofikiria.

Hata mashabiki wake leo walijitokeza kwa wingi mahakamani wakitarajia mbungi ya kukata na shoka ila kinyume chake jamaa kafika kapiga pressure point na kuwaacha watazamaji midomo wazi wasielewe pambano limeishaje na wengine hata wakitamani kuomba warudishiwe kiingilio chao maana hata round ya kwanza haijafika mtu katema mouth guard na kuvua gloves.

Yaliyobaki naamini hekima itatumika kwa maslahi mapana ya Taifa, ila sijaona ushindi wowote wa kujisifia na kujigamba.

Nadhani kuna la kujifunza kupitia mwenendo wa shauri hili kuanzia mwanzo mpaka leo hii. Kwa kifupi Dola haichezewi, na mabadiliko huja polepole kwa jamii kuongea lugha moja na sio kwa njia za ukaidi ama violence.

Tanzania haipo tayari kutia doa historia yake juu ya masuala mazima ya ulinzi na usalama wake, na ipo tayari kuchukua hatua zozote zinazowezekana na nguvu ya aina yoyote kulinda heshima yake.

Tusijazane ujinga kuwa imewezekana Madagascar, Libya, Kenya, Haiti na mataifa kadhaa basi na hapa tunaweza kutoboa kwa style hiyo. Tukiwaza hivyo tutajiumizana kuacha maumivu makubwa katika jamii na familia zetu lakini jambo hilo ni ngumi sasa kwakweli.

Tujifunze historia itatusaidia, kama ilishindika wakati wa late Mahiga wakati nchi ni changa kabisa kiulinzi, ni ngumu kutoboa sasa kwa nyakati zetu hizi ambapo vyombo vina ukomavu wa kutosha
Ahsante Kwa maelezo yako marefu mkuu

Ila mission ya Lisu ya miaka zaidi ya ishirini imekamilika Leo kufunua madhaifu ya mifumo yetu

Hukumu ya kunyongwa au kutokunyongwa kwake Haina uzito kama kazi aliyofanya mahakamani

Jiulize kwanini hakukanusha maneno yake mahamani kuhusu mahakama na mahakimu kuwa kicccm ccm
 
Okay. Sasa waambie familia yake huko Ulaya waache kumpigania aachiwe maana hata akinyongwa hadi kufa bado ni ushindi kwao na kwa Lissu!
Familia yake ilichokuwa inafanya Kwa kujua au kutokujua ni kumsaidia Lisu kukamilisha mission yake kimataifa ya kufunua udhaifu wa mifumo ya nchi hii
 
Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.

Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu .

Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu kupambana na KULETA mabadiliko chanya kuanzia mfumo wa ELIMU

Kisha akapambana KULETA mabadiliko chanya kwenye mfumo wa serikali kuanzia enzi ya tatu ya Mzee ben

Baadae akaingia bungeni Kwa Nia Ile Ile ya kutafuta mabadiliko chanya kupitia muhimili wa Bunge

Na Leo amehitimisha mission yake ndani ya mfumo wa mahakama.

Kitendo kuita mahasimu wake wa kesi kuwa mashahidi wake ni kuonyesha Nia Ile Ile ya kufunua udhaifu huo

Imeingia kwenye rekodi rasmi ya Taifa shahidi wa uhaini kuita waliotaka kupinduliwa Rais makamu pm Cdf wathibishe uhaini wake

Hii kesi imempa Lisu PLATIFORM nzuri ya mission yake na kumtangaza KITAIFA na kimataifa yeye na chama chake.

Mambo aliyoongea mahakamani asingepata nafasi hio MAHALI POPOTE au jukwaa lolote KWA upana urefu uzito na kina kiasi kile

Huu ilikuwa nafasi ya hao mashahidi kuonyesha hadharani uhaini wa Lisu Kwa uwazi kabisa

Kwa akili ya kawaida bondia amekimbiwa na mpizani wake jukwaani hivyo refa ataamua Nini ???

Hongera Tundu Lisu umekamilisha mission yako Kwa uzito mkubwa ndo maana imekuwa na FURAHA kuliko baadhi walioko uraiani

Kazi imebaki Kwa watanzania waliofunguliwa macho kuona udhaifu wa mifumo yetu na kuchukua hatua ya mabadiliko

Ni kama Mwalimu Nyerere alivyowafunua macho watanganyika miaka 60 iliyopita juu mfumo ule uzuri walimwelewa ngoja tuone Sisi kama tutamwelewa Tundu Lisu
Amina Inside from Ukonga hapa
 
Ukweli mchungu usiotaka kusikika na wengi ni kuwa jamaa amepoteza. Matarajio yake hayakwenda vile alivyofikiria.

Hata mashabiki wake leo walijitokeza kwa wingi mahakamani wakitarajia mbungi ya kukata na shoka ila kinyume chake jamaa kafika kapiga pressure point na kuwaacha watazamaji midomo wazi wasielewe pambano limeishaje na wengine hata wakitamani kuomba warudishiwe kiingilio chao maana hata round ya kwanza haijafika mtu katema mouth guard na kuvua gloves.

Yaliyobaki naamini hekima itatumika kwa maslahi mapana ya Taifa, ila sijaona ushindi wowote wa kujisifia na kujigamba.

Nadhani kuna la kujifunza kupitia mwenendo wa shauri hili kuanzia mwanzo mpaka leo hii. Kwa kifupi Dola haichezewi, na mabadiliko huja polepole kwa jamii kuongea lugha moja na sio kwa njia za ukaidi ama violence.

Tanzania haipo tayari kutia doa historia yake juu ya masuala mazima ya ulinzi na usalama wake, na ipo tayari kuchukua hatua zozote zinazowezekana na nguvu ya aina yoyote kulinda heshima yake.

Tusijazane ujinga kuwa imewezekana Madagascar, Libya, Kenya, Haiti na mataifa kadhaa basi na hapa tunaweza kutoboa kwa style hiyo. Tukiwaza hivyo tutajiumizana kuacha maumivu makubwa katika jamii na familia zetu lakini jambo hilo ni ngumi sasa kwakweli.

Tujifunze historia itatusaidia, kama ilishindika wakati wa late Mahiga wakati nchi ni changa kabisa kiulinzi, ni ngumu kutoboa sasa kwa nyakati zetu hizi ambapo vyombo vina ukomavu wa kutosha
Ni hivi, maadiliko ya kweli yamebembelezwa muda mrefu hayajapatikana. Tumeingia kwenye hatua ya machafuko, taka msitake yatapatikana tu hata kwa machafuko tena. Ile voters turnout ya juzi imetoa mwanga wa halisi wa nini kitafuata.

Tunza hii post hutaamini macho yako, kile ulichokiona kwenye uchaguzi wa juzi najua hukukitarajia, lakini kilitokea. Tarajia usiyotegemea.
 
Lisu kafunga ushahidi ila najua saiz jopo la kina katuga liko sehemu linajadili kwanini kafunga ushahidi kirahisi tu ivo
Ukweli ni kwamba wataumbuka subiri final uone genius akishinda
Hata kitendo Cha kutokuja mahakamani kwao ni ushdidi pia Kwa Lisu
Usiniulize ni ushahidi wa Nini 😊
 
Watanzania tumesikia na kuona jinsi nchi yetu inavyochezewa, haileti maana kabisa kwamba umeshtaki kwa mahakama kwamba mtu fulani ni mualifu, halafu ukiambiwa njoo utoe ushahidi ili sheria zichukuwe mkondo wake unakimbia? Unatakatuelewenini?. The general rule is that he who alleges must prove section 117 and 118 of The evidence act.
 
Back
Top Bottom