Hongera Lissu umefanikiwa kufichua udhaifu wa mifumo yetu ya serikali, bunge hadi mahakama. Mission complete

Hongera Lissu umefanikiwa kufichua udhaifu wa mifumo yetu ya serikali, bunge hadi mahakama. Mission complete

Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.

Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu .

Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu kupambana na KULETA mabadiliko chanya kuanzia mfumo wa ELIMU

Kisha akapambana KULETA mabadiliko chanya kwenye mfumo wa serikali kuanzia enzi ya tatu ya Mzee ben

Baadae akaingia bungeni Kwa Nia Ile Ile ya kutafuta mabadiliko chanya kupitia muhimili wa Bunge

Na Leo amehitimisha mission yake ndani ya mfumo wa mahakama.

Kitendo kuita mahasimu wake wa kesi kuwa mashahidi wake ni kuonyesha Nia Ile Ile ya kufunua udhaifu huo

Imeingia kwenye rekodi rasmi ya Taifa shahidi wa uhaini kuita waliotaka kupinduliwa Rais makamu pm Cdf wathibishe uhaini wake

Hii kesi imempa Lisu PLATIFORM nzuri ya mission yake na kumtangaza KITAIFA na kimataifa yeye na chama chake.

Mambo aliyoongea mahakamani asingepata nafasi hio MAHALI POPOTE au jukwaa lolote KWA upana urefu uzito na kina kiasi kile

Huu ilikuwa nafasi ya hao mashahidi kuonyesha hadharani uhaini wa Lisu Kwa uwazi kabisa

Kwa akili ya kawaida bondia amekimbiwa na mpizani wake jukwaani hivyo refa ataamua Nini ???

Hongera Tundu Lisu umekamilisha mission yako Kwa uzito mkubwa ndo maana imekuwa na FURAHA kuliko baadhi walioko uraiani

Kazi imebaki Kwa watanzania waliofunguliwa macho kuona udhaifu wa mifumo yetu na kuchukua hatua ya mabadiliko

Ni kama Mwalimu Nyerere alivyowafunua macho watanganyika miaka 60 iliyopita juu mfumo ule uzuri walimwelewa ngoja tuone Sisi kama tutamwelewa Tundu Lisu
Kwanza Tuu kukataa kesi isirushwe Mubashara,Tayari niTKO!Yaani haini anataka irushwe, serikali haitaki.
 
Haijalishi utahukumiwa au utaachiliwa huru
Udhaifu ulionuesha kwenye mihimili ya nchi hii ni kubwa sana

Wakikunyonga wewe nimshindi
Wakikuachilia huru wewe ni mshindi

Kila mtu atakufa ila Ina inategemea ume fia nini
 
Mandela hakuwa anapambana awe Rais
Ndo maana aliongoza Kwa muhula mmoja tu
Alipigania mifumo huru ya usawa Kwa kia raia
 
Back
Top Bottom