Hongera Lissu umefanikiwa kufichua udhaifu wa mifumo yetu ya serikali, bunge hadi mahakama. Mission complete

Hongera Lissu umefanikiwa kufichua udhaifu wa mifumo yetu ya serikali, bunge hadi mahakama. Mission complete

Ni hivi, maadiliko ya kweli yamebembelezwa muda mrefu hayajapatikana. Tumeingia kwenye hatua ya machafuko, taka msitake yatapatikana tu hata kwa machafuko tena. Ile voters turnout ya juzi imetoa mwanga wa halisi wa nini kitafuata.

Tunza hii post hutaamini macho yako, kile ulichokiona kwenye uchaguzi wa juzi najua hukukitarajia, lakini kilitokea. Tarajia usiyotegemea.
Ndugu keyboard warrior kila Taifa lina namna ya kuyaendea mambo yake. Tusipende kuiga kila kitu, kuna namna nyingi za kujenga na sio kwa mwenendo ule.
 
Ndugu keyboard warrior kila Taifa lina namna ya kuyaendea mambo yake. Tusipende kuiga kila kitu, kuna namna nyingi za kujenga na sio kwa mwenendo ule.
Ni ustaarabu gani haujawahi kutumika hapo kabla kutaka hayo mabadiliko? Je huo wizi wa kura 31m ambazo hakuna idadi hiyo ya wapiga kura vituoni ndio utaratibu wenu kama nchi? Ni hivi, mabadiliko ni lazima kwa amani ama kwa machafuko, ni suala la muda tu.
 
Ndugu keyboard warrior kila Taifa lina namna ya kuyaendea mambo yake. Tusipende kuiga kila kitu, kuna namna nyingi za kujenga na sio kwa mwenendo ule.
Mwenendo upi? Nyie mlivyoua vijana wetu na wakina mama ndio mwenendo? Jingah sana we mzee
 
Kwa great thinkers tu, sio mahali pako we kilaza kama sa100
nasisitiza mizaha iendelee zaidi kwenye masuala ya msingi haswa mahakamani na itapendeza zaidi wapendwa great thinkers🐒
 
Lisu kajitoa muhanga kwa watanzania, na sio kwa familia yake. Hizo zama za kuburuza watu wote kama makondoo amegoma na kachora mstari.
Basi mumuombee sasa anyongwe ili akamilishe mission kama Yesu Kristu alivyowekwa msalabani ili awakomboe Wana wa Israel!
 
Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.

Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu .

Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu kupambana na KULETA mabadiliko chanya kuanzia mfumo wa ELIMU

Kisha akapambana KULETA mabadiliko chanya kwenye mfumo wa serikali kuanzia enzi ya tatu ya Mzee ben

Baadae akaingia bungeni Kwa Nia Ile Ile ya kutafuta mabadiliko chanya kupitia muhimili wa Bunge

Na Leo amehitimisha mission yake ndani ya mfumo wa mahakama.

Kitendo kuita mahasimu wake wa kesi kuwa mashahidi wake ni kuonyesha Nia Ile Ile ya kufunua udhaifu huo

Imeingia kwenye rekodi rasmi ya Taifa shahidi wa uhaini kuita waliotaka kupinduliwa Rais makamu pm Cdf wathibishe uhaini wake

Hii kesi imempa Lisu PLATIFORM nzuri ya mission yake na kumtangaza KITAIFA na kimataifa yeye na chama chake.

Mambo aliyoongea mahakamani asingepata nafasi hio MAHALI POPOTE au jukwaa lolote KWA upana urefu uzito na kina kiasi kile

Huu ilikuwa nafasi ya hao mashahidi kuonyesha hadharani uhaini wa Lisu Kwa uwazi kabisa

Kwa akili ya kawaida bondia amekimbiwa na mpizani wake jukwaani hivyo refa ataamua Nini ???

Hongera Tundu Lisu umekamilisha mission yako Kwa uzito mkubwa ndo maana imekuwa na FURAHA kuliko baadhi walioko uraiani

Kazi imebaki Kwa watanzania waliofunguliwa macho kuona udhaifu wa mifumo yetu na kuchukua hatua ya mabadiliko

Ni kama Mwalimu Nyerere alivyowafunua macho watanganyika miaka 60 iliyopita juu mfumo ule uzuri walimwelewa ngoja tuone Sisi kama tutamwelewa Tundu Lisu
Huyu Bwana ndani ya miaka 10 tu ameipiga mihimili Yote mitatu kwa pamoja
 
Back
Top Bottom