Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

Bado Jazba imejaa kwenye Vichwa vya Wanaomkubali Kanumba!

Je Lulu anaangaliwa na Kundi lipi .

Kumbuka Kufa si kitu cha Ajabu sana Maana Hata wewe unayemtetea Kanumba na Kumkandamiza Lulu pia huna Ushaidi, but Ukweli anao Muuaji Mwenyewe.

Pili tuwe na Uungwana Wanajamii kwani Kuleta chuki na Hukumu haraka si Suluhu wakati Ugomvi wenyewe unasababisha na Njia panda ya Chalinze!

Tutasema Mengi sana kuhusu Lulu na Ubaya wake kwamba ni Malaya sana Je Amekupa Njia panda yake!

Kufa ni Kufa tu! Hakuna nafsi isiyoonja Mauti.
 
True Lulu is innocent alikuwa anajitetea kwa kupigwa. But naomba niulize ni lazima uwe na mtu hata kama anakupiga kila siku????? tena basi si mume wako... WHY?? to me sioni kuwa ni mapenzi kung'ang'ania huku unadundwa.... JUST get out !!
 
Usiishie kumpongeza tu hapa JF bali ukamuunge mkono pia kwa kukaa nae mahabusu!!
 
Nadhani tuache kumlaumu Lulu na tutafute hata na chanzo ili kujua nani mwenye makosa
 
Time will tell...tusimshutumu Lulu mwenyezi mungu akipanga lake mja hawezi lifuta....hata Kama isingekua lulu basi angekua mwengine baada ya lulu....
 
ingawa sijaelewa hii thread hata kidogo ... lakini i am very anxious to know the end of this thread and the truth about this vindication .... let me be an observer
 
tusubiri riport ya madaktari, huenda alianguka mwenyewe au alimwangusha we dont know
kama ni kesi itakuwa manslaughet hakuna zaidi ya hapo.
kauwa ln sidhani kama alikuwa na intention ya kumuumiza
na isitoshe tu prove kama alimsukuma ni kazi pia hasa kwa jeshi letu la polisi kuthibitisha haya.
nawapa pole wafiwa, hakustahili kufa mapema bado ni kijana mdogo na alililetea heshima taifa letu kwa afrika nzima
 
Hapa umeonesha mfumo jike hadharani: unajua sasa kunaorodha ndefu ya wanawake wanaowadunda wenza wao kucha kuchwa?!, katika bandiko lako ungegusia na kuusia juu ya wenza kupigana na mwanamke kupigwa, wafundishe na waombee watoto wakike wasiwe na pepo la kuwadunda waume zao na tujengee jamii inayochukia haya na si jamii inayofikiri kuwa wanaume ndo hufanya kosa la kuwapiga wenza, bali wanawake wakiwapiga wenza wao si kosa. BTW hatujui hata lama Lulu alikuwa akipigwa bali huenda yeye ndiye aliyelianzisha na kulimaliza.
 
tusubiri riport ya madaktari, huenda alianguka mwenyewe au alimwangusha we dont know
kama ni kesi itakuwa manslaughet hakuna zaidi ya hapo.
kauwa ln sidhani kama alikuwa na intention ya kumuumiza
na isitoshe tu prove kama alimsukuma ni kazi pia hasa kwa jeshi letu la polisi kuthibitisha haya.
nawapa pole wafiwa, hakustahili kufa mapema bado ni kijana mdogo na alililetea heshima taifa letu kwa afrika nzima
 
R.I.P KANUMBA.
Kwa kweli,huyu bint LULU anahitaji faraja toka kwa kila binadam mkamilifu kuliko lawama,ni wakati ambao mazingira ya mtu mume mtu mzima kugombana na kabint kwa sababu iwayo yote ni aibu kubwa,kile kilichomtokea kama kweli walikuwa wanagombana ni ajali ambayo imesababishwa na marehemu mwenyewe.
Ukweli haujalishi unamhusu nani, hata kama marehemu hajazikwa yaliyo ya ukweli yanayouzunguka umauti wake yasemwe,swala la ooh marehemu hajazikwa asilaumiwe ooh sijui nini halisaidii,kama binadam hatuna la kufanya juu ya marehem huyu lakini kuna funzo kuu ambalo mjadala wa yaliyosababisha mauti utatoa kwetu sisi tulio hai. Unafiki unaangamiza taifa,kwenye usanii kumekuwa recruitment centre ya shetani kwa vijana wetu,yanayo watokea ni madhala ya kujikweza kuliko kiwango kiasi cha kusahau ABC za maisha ya kiafrika.
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa,
Yaani Ka-Lulu ambako hakajai hata mkono mmoja kanamsukuma Mwili Jumba "The Great" yaani mpaka inaleta effect between Kichwa na Ukuta/Sakafu!!'n
 
Haters utawajua tu ukipatwa na tukio.
 
True Lulu is innocent alikuwa anajitetea kwa kupigwa. But naomba niulize ni lazima uwe na mtu hata kama anakupiga kila siku????? tena basi si mume wako... WHY?? to me sioni kuwa ni mapenzi kung'ang'ania huku unadundwa.... JUST get out !!

Unauhakika Lulu alikuwa anajitetea kwa kipigo?! Unauhakika?!?
 
Kweli ukistaajabu ya Mussa,
Yaani Ka-Lulu ambako hakajai hata mkono mmoja kanamsukuma Mwili Jumba "The Great" yaani mpaka inaleta effect between Kichwa na Ukuta/Sakafu!!'n

Angalau wewe umepanua mawazo ya watu, sishangai kuwa kulikuwa ma mtu wa tatu ambaye hatajwi. Inashangaza kuwa GT wanang'ang'ana kuonesha chuki zao bila kutumia upstairs zao vizuri: Lulu amsukume Kanumba mpaka kanumba apasuke kichwa?!, hii makitu mimi mbado kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…