Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

Kimsingi Lulu amewakilisha hulka ya wanawake ya ukatiri usio na kipimo.
 


Yeah as i said earlier hili ni funzo na onyo sijui watu hatuoni vijana tujifunze lifestyle zingine sio zinzcost hadi maisha
 
onyo
kabla ya ugomvi na wake/wapenzi wenu ,wanaume mvae HELMET kwanza!!!!:heh:
 

Mtu akisema wewe si Lusifa nitabisha hadi nife!
 
Nadhani tuache kumlaumu Lulu na tutafute hata na chanzo ili kujua nani mwenye makosa

mwenye makosa ni wema sepetu...tangu mchana marehemu alikua na ugwadu alimpigia simu akakataa kuja,angekuja yasingetokea yote haya
 
Mbona umenkokuludi ivyo?Una uhakika na ulichosikia?hata kama kinachosemwa kwa Lulu ni correct,unaweza kusema alienda kufanya nn kwa Mareh.?halafu mbona unamhukumu mtoto wa watu kirahic?Na tu-imajini wanawake wote kama wangekuwa na idea kama zako wangekuwa na ndoa?Hivi una ndoa na watoto kabisaa?Kama una ndoa na watoto chukulia mtoto wako anapoteza uhai kwa njia yoyote ile mfano.ajali,ugonjwa c ndo utamhukumu Sir GOD kwa nin alimuumba huyo?Naic umeteleza ku-argue ktk kipind hiki cyo familia ya Mareh.tu hata kwa Taifa zima tunapo omboleza kilicho tokea kwani tulikuwa tunamhitaj kama Taifa na Kimataifa alikuwa anaitajka.May God rest his soul....amen.
 
What kind ov moza r u?do u ve children?if yes how would u fil if dz happen 2 ur son?how would Kanumba's mother think about u 2 her son n family?USHINDWE!!

tumia akili ww kanumbu ni upuuzi na aibu kutembea na under 18 katudhalilisha bora amekufa angeficha wap sura yake
 
MADAM T mimi sikubaliani na wewe hata kidogo, hivi na wewe ulianza mahusiano na wanaume ukiwa bado mdogo eeh..saa sita usiku uko nyumbani kwa mwanaume...
 

Hebu mwambie, amenikera kweli...sijataka kuandika sana nikaharibu Easter yangu
 
Hujui mateso wanawake wanayopata ww! So leave pi as pi!!

Siju wewe au hao unaowajua wanateseka wameshaua wangapi? Sidhani hata kama huyo Lulu mwenyewe analichukulia hili kama hivyo mnavyong'ang'ania...
 
 
we ni mpuuzi mwenye laana kama za lulu na upuuzi huu uliondika ipo siku utakutokea puani kama ulikuwa na chuki na marehemu happa si mahala pake ama kama ulishawahi dhalilishwa na mwanaume wako usifanye ulionganisho hapa umekosa hoja ya msingi na kuingiza ***** pole sana akili zako zimelala kama za fisi mla mizoga!!
 
Sijapata ona jitu lenye akili mbovu kama mwanzisha hii mada amekosa upeo wa kila namna na mawazo finyu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…