Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nusrat ni mnyaturu antena imepoteza channel
 
Kitenge haoagi mwanamke mchovu, wanawake wote ambao anawaoa wanamawe.Kuna kupindi alikuwa amemuoa mmama mmoja ambao uafanya kazi UN. Naona hapendi mizinga kwa hawa wadangaji, halafu yy anaprefer wale ambao umri kidogo umeenda ambao wanahela, hawa mademu njaa njaa hataki kuwasikia.
 
Hivi hao watu mnaosemaga ni mabwabwa huwa mna ushaidi au mnawachafua tu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…