Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Moja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app