Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
Moja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri mdogo.
IMG_20190331_204237.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sioni sehemu kaandika ameinunua/ amejenga/ amepangisha... Hapa tunapiga ramli.
 
Hao si walishajengaga kipindi kile wapo na fela alaf kesho yake tukasikia zilikua ni kiki
 
Back
Top Bottom