Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Weka yako hapa mkuu tuone Kati ya kwako na ya mbosso Khan ipi ya kizamani kabisa!??Hongera sana kwa hatua uliyopiga, ila nyumba kama ya kizamani, sisi vilema tunapandaje hapo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yasije yakawa kama ya rosa ree ooh nyumba yangu sjui management wamenipa mara ghafla katimliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio WCBKesho usishangae tukaskia Mbosso kanyanganywa nyumba na managment yake... Kama kina Aslay/Yamoto band...
Uzuri ni kwamba ametega mtego. Hajasema ni kipi anachomshukuru nacho Mungu.
Sijui kama umeona huo ujanja mkuu.
Mkuu una undugu na makonda?Akwende
Hongera sana kwa hatua uliyopiga, ila nyumba kama ya kizamani, sisi vilema tunapandaje hapo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app