Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Safi sana, hii ndio akili sasa....sio kuanzisha mashindano ya kiki.

Huyu kijana akiendelea kuwa na akili hizi.....hadi ifike 2025 tuta yaona mengi makubwa.

All the best Mbosso.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjengo kama design za Kenya (tofali za ukuta)
 
Hongera zake, Nyumba yake inavutia mashallah 😍
 
Tanzania imefika hatua kua na kajumba kama hako ni very big deal mpaka utangaze kilamahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameeleza bro, yawezekana kwako wewe ikawa ni kitu kidogo sana ila kwake ni kikubwa na inawezekana unadharau ukawa huna ya hivyo hata yenye mfanano wa hiyo ukawa umepanga au unakaa kwenye vijumba vya serikali ukisubiri pensheni

Shubahamit
 
inaweza kuwa ya kwake kwa kuinunua.. maana music una hela ukiwa na management nzuri... ila kwa kujenga mwenyewe naona kama ngumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…