Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Hujamuelewa huyo mkuu
Hoja yake ni kuwa wema kachezea maisha
Angekua na akili saivi angekua mbali.yeye sio mtu aliyefaa kua na hako kaduka
Miaka na miaka toka enzi za kanumba wema alikua amezembea
Ok
 
Wema namkubali kwa brand, ila kapoteza sana muda kwa kuwa bize for nothing, sasa km kaamua kutulia na kutengeneza legacy yake hapo mi namkubali maana fame inapungua watakuja watoto wengine wenye kiki kuliko yeye, so she better use her influence right now, anyway its a very good move,
 
Ni kweli kabisa
 
Ukweli mchungu, atulie apige kazi.
 
Hata kama ni duka lake la 100 hongera lazima apewe tu
naongelea kuanza maana wasema angekuwa kaanza mapema angekuwa mbali nakwambia alishaanza mbona.
Halafu mbona huyu mdogo wako hujamcompare na wasanii na ma celeb wa Marekani kama ambayo uliwa comparea akina Mond ukadai uwa wajiuliza wanafanya nini unashangaa mtu kuuza karanga? au comparison zako ziko biased
 
Biashara imefilisi wachaga sana hii

Biashara kwasasa inahitaji utumie ubunifu mkubwa kuifanya tofauti sanaaaaa
Binafsi MTU mwenye duka languo na anayeuza mchele naona bora anayeuza mchele hii biashara ni za show off tu lakini hamna cha maana ni hela ya mboga tu na vocha utaambulia sio ya kuendesha maisha ya mtu.
 
Kuna watu wana roho mbaya khaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati hafanyi chochote alikua anasemwa haya ameona ajishughulishe bado watu wanaponda.

Roho mbaya zitatuua wanawake
Tatizo hizi timu zinatupoza Mimi binafsi siyo wema tu Bali msanii yoyote ambaye atafanya biashara hii huwa simfagilii hizi biashara za boutique huwa haziwaingizii faida said wanafanya ili waonekane na wao wanajishughulisha ila kiundani zinawaumizaa . wajaribu wawe wabunifu muda ni mwalimu mzuri utasema.
 
Kwenye maendeleo huwa sibase kwenye team...awe hamissa...zari au yoyote akipiga hatua moja mbele ninampongeza.

Hafanye marketing nzuri na akiwa mvumilivu itamsukuma.

Hata kwa hiko kidogo apongezwe ila hata hajafungua duka tayari mshaanza kumkatisha tamaa, haijakaa poa.

Hata kama anafanya aonekane si mbaya kuliko angekaa tu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…