Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Mwulize PM instagramIle kampuni yake ya the endless aliyo kuwa ameajiri Waisrael na Warussia ilikuja kufia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwulize PM instagramIle kampuni yake ya the endless aliyo kuwa ameajiri Waisrael na Warussia ilikuja kufia wapi?
OkHujamuelewa huyo mkuu
Hoja yake ni kuwa wema kachezea maisha
Angekua na akili saivi angekua mbali.yeye sio mtu aliyefaa kua na hako kaduka
Miaka na miaka toka enzi za kanumba wema alikua amezembea
Wema ana miaka 29... mwakani anaingiza 30Mbona wema mtoto sana, au wewe ndo mtoto sana
Tatizo mtaji alioweka tafauti na wewe?Hivi biashara ya kuuza kumiliki duka ni yakumpa hongera MTU kama Wema Sepetu wakati huku mtaani hata Mimi mtanzania mnyonge nisiyekuwa na fame yoyote nauwezo wa kuimiliki .
Ni kweli kabisaWema namkubali kwa brand, ila kapoteza sana muda kwa kuwa bize for nothing, sasa km kaamua kutulia na kutengeneza legacy yake hapo mi namkubali maana fame inapungua watakuja watoto wengine wenye kiki kuliko yeye, so she better use her influence right now, anyway its a very good move,
HahahahaTatizo mtaji alioweka tafauti na wewe?
Ukweli mchungu, atulie apige kazi.Wema namkubali kwa brand, ila kapoteza sana muda kwa kuwa bize for nothing, sasa km kaamua kutulia na kutengeneza legacy yake hapo mi namkubali maana fame inapungua watakuja watoto wengine wenye kiki kuliko yeye, so she better use her influence right now, anyway its a very good move,
[emoji23][emoji23][emoji23] kwan huongoHahahaha
naongelea kuanza maana wasema angekuwa kaanza mapema angekuwa mbali nakwambia alishaanza mbona.Hata kama ni duka lake la 100 hongera lazima apewe tu
Lakini Ng'ombe hazeeki mainiAisee wewe ni mama mdogo kabisa.shikamoo Money Penny
Binafsi MTU mwenye duka languo na anayeuza mchele naona bora anayeuza mchele hii biashara ni za show off tu lakini hamna cha maana ni hela ya mboga tu na vocha utaambulia sio ya kuendesha maisha ya mtu.Biashara imefilisi wachaga sana hii
Biashara kwasasa inahitaji utumie ubunifu mkubwa kuifanya tofauti sanaaaaa
haya basi ngoja nimsubilie paula kajala maana namzidi not less than 6 yearsPole sana
Wenzio waliwahi muda sasa hivi wananipepea
Tatizo hizi timu zinatupoza Mimi binafsi siyo wema tu Bali msanii yoyote ambaye atafanya biashara hii huwa simfagilii hizi biashara za boutique huwa haziwaingizii faida said wanafanya ili waonekane na wao wanajishughulisha ila kiundani zinawaumizaa . wajaribu wawe wabunifu muda ni mwalimu mzuri utasema.Kuna watu wana roho mbaya khaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati hafanyi chochote alikua anasemwa haya ameona ajishughulishe bado watu wanaponda.
Roho mbaya zitatuua wanawake
Huo mtaji hauzidi mil 10. Kwa mwaka hatapata faida hata ya kulipia pango lake kwa mwaka kwa kupitia hiyo biashara. Hizi boutique watu wanatafuta pesa za ziada tu.Tatizo mtaji alioweka tafauti na wewe?
Kumbe mi nakuzidi miaka 22!!Nina miaka 48 best
Kwenye maendeleo huwa sibase kwenye team...awe hamissa...zari au yoyote akipiga hatua moja mbele ninampongeza.Tatizo hizi timu zinatupoza Mimi binafsi siyo wema tu Bali msanii yoyote ambaye atafanya biashara hii huwa simfagilii hizi biashara za boutique huwa haziwaingizii faida said wanafanya ili waonekane na wao wanajishughulisha ila kiundani zinawaumizaa . wajaribu wawe wabunifu muda ni mwalimu mzuri utasema.
KwapaniTuanze na wewe upo wap kwan