Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Bado hajachelewa kwa kuwa colonel sanders yule wa kentucky fried chickens (kfc) alipata utajiri na biashara yake kukua akiwa na miaka 60 hapo ni baada ya ku hustle vibaya mno
 
du nilisahau!
 
Pesa ya walipa kodi ndani ya jiji la darisalama. Walipa kodi ni wengi wafaidio wachache. bashit....ee financing. Ding dong... who is next?
 
Pesa ya walipa kodi ndani ya jiji la darisalama. Walipa kodi ni wengi wafaidio wachache. bashit....ee financing. Ding dong... who is next?
english hatujaielewa!
 
kuna wadogo zake wamefika mbali mana walianza mapema, kwa vyvyt vile ye tyr amechelewa mno.
kuna kipind nlikuwa namsikiaga kwenye mitandao lkn ckujua ana kipi kipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…