Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Upogoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]...

Duka la dairekita Joann hill sio lake

Nasubiri povuuuu la safari lager[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]

Haaahaaaaa
Povu la Omo na Ariel[emoji23][emoji23][emoji23]


Tulieni muone leseni ya biashara[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi biashara ya kuuza kumiliki duka ni yakumpa hongera MTU kama Wema Sepetu wakati huku mtaani hata Mimi mtanzania mnyonge nisiyekuwa na fame yoyote nauwezo wa kuimiliki .
Sawa na maprofesa wetu wa Changanyikeni na Makongo kumiliki vibanda vya chips,magenge,bodaboda na bajaji,then tunawapa hongera kuwa ni wajasiriamali.
 
Hongera zake na akiwa mjanja awe anavaa anachouza ili kuwavutia wateja na auze bei za kizalendo sio nguo laki 5 unakuta blazzer tu
 
si aliwahi kuwa na kampuni kubwa hadi akaleta wasanii kutoka Naija..ilifia wapi ile? nakumbuka alifunguliwa na yule tajiri aliyeishia kuuza mishikaki ya chelewa na sasa yupo Segerea
 
This time ni lake kweli????
Ile nyumba ya m400 alisema yake kumbe sio
Ile range hadi ikampa jina la madam range haikua yake
Kiss lipstick pia
kama ni lake kweli hongera zake
 
Back
Top Bottom