Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hapo bebe kasema rudisha nakununulia zingine kumbe ndo anakufilisi usimzidi kipato..omandede!
du Mondi nae chizi!
ahahahahah
mwanaume akuchuje alafu umrudishie mali zake
ode! sifanyi hio kitu
kama umenichuja mali ulizonipa ndio mshahara wangu
Wema alikua anampenda sana mondi mnooo