Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

omandede!
du Mondi nae chizi!
ahahahahah
mwanaume akuchuje alafu umrudishie mali zake
ode! sifanyi hio kitu
kama umenichuja mali ulizonipa ndio mshahara wangu
Hapo bebe kasema rudisha nakununulia zingine kumbe ndo anakufilisi usimzidi kipato..

Wema alikua anampenda sana mondi mnooo
 
ode!
wema anapanda bajaj?
haya yote yalitokea wakati sipo TZ nini?
Mbona kwangu mageni jamaa!
Mageni kwa sababu hufatilii amna labda ulikua chuo au shule tuacheni wazee tuwasimulie nanyi mkasimulie..

Napenda sanaa na wasanii nawafatilia sana tuu!!!
Yametokea hapa Bongo Dsm
 
Hapo bebe kasema rudisha nakununulia zingine kumbe ndo anakufilisi usimzidi kipato..

Wema alikua anampenda sana mondi mnooo
Maskiniii!
angekujaga kwangu ningemsaidia!
kiru! pole yake
ngoja tuone na nguo za watoto sijui itakuwaje
 
Mageni kwa sababu hufatilii amna labda ulikua chuo au shule tuacheni wazee tuwasimulie nanyi mkasimulie..

Napenda sanaa na wasanii nawafatilia sana tuu!!!
Yametokea hapa Bongo Dsm
shule yangu iliisha 1994.. mwaka 97 nikapata Masters!
Alafu sijasoma Africa
huenda nilikuwa buzy na kulea watoto na shule.. doh asante kwa ubuyu
 
shule yangu iliisha 1994.. mwaka 97 nikapata Masters!
Alafu sijasoma Africa
huenda nilikuwa buzy na kulea watoto na shule.. doh asante kwa ubuyu
94 Niko std1 [emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]!!

May be hukua bongoo!!!
 
Makombo na alimpnagishia mbona...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]haianga makombo ilee
hahahaha
kwahiyo alikula kwenye meza ya Wema kama Wema au hakufikia level za Wema?
sa mbona Kajala mwenyewe sasa hivi anahangaika kuliko wema?
du hawa watoto jaman!
 
hahahaha
kwahiyo alikula kwenye meza ya Wema kama Wema au hakufikia level za Wema?
sa mbona Kajala mwenyewe sasa hivi anahangaika kuliko wema?
du hawa watoto jaman!
Hajawahi fikia na hapa bongo nafikir labda Kyln kwa sasa ila hawa wengine hakunaaa....na hawawezi tena kufanya ujinga ulee!!!
Na sio Tz tu East Africa hii Wema amekula maishaa
 
Back
Top Bottom