Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Huo mtaji hauzidi mil 10. Kwa mwaka hatapata faida hata ya kulipia pango lake kwa mwaka kwa kupitia hiyo biashara. Hizi boutique watu wanatafuta pesa za ziada tu.
una risiti kuwa mtaji wake hauzidi mil 10?
ivi china watu wanaendaga na mil 1 kupata mzigo wote huo kwenye video ee?
embu panda ndege na mil 1 useme unaenda china tuone kama utajaza sanduku 2 tu za kilo zako za abiria wa ndege
uwe unaongea kama mtu anaefanya biashara basi sio kama mpenzi mtazamaji!
 
This time ni lake kweli????
Ile nyumba ya m400 alisema yake kumbe sio
Ile range hadi ikampa jina la madam range haikua yake
Kiss lipstick pia
kama ni lake kweli hongera zake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ck ndo alikua mtu wa kwanza kumpa Wema jinaa...jeuri....na kila kitu alimpa maisha mnoooo...

Wema kashakodi ndege from Dar to Arusha na wapambe enzi hizoo anaitwa Kim K...upooo...!!!!

Bonge La sista duuu;!!anamwaga hela kama zoteee!!!
 
du
CK yeye ana shughuli gani mjini ya kumpaisha Wema namna hio?
kama huwezi andika hapa njoo pm unipe sinema
 
CK alikua mtu wa Ikulu dadaaaa!!sasa hivi kafuliaa na yuko segedance kwa matumizi mabaya ya fedha!!!!

Wema ashawahi mtunza gari Dogie masta kwa Kazi nzuri ya kumtukana penny na Zari enzi hizoooo...Wema kashapiga meneja hotel mmesahau jina kwa jeuri ya fedha..upooo...
 
nipo sina pa kwenda
enheee....
 
nipo sina pa kwenda
enheee....
Akampa jeuri ya kupanga nyumbani ya mil279...akafanya marekebisho ya milioni 110...akaanzisha endless fame!!!akmlipia kajala 13mils on the spot akamtoa jela....!!!!akamiliki gari ya milioni 170 kama sikosei..!!akaanzisha kipindi cha kipindi cha 'in my shoes'

Wema amekula sana maishaa
 
uuuuwi mdogowangu wa singida huyu katumbuaaa
angenunua Hisa jamaan si angekuwa mbalii
jooomooon
 
Enzi zile ndo Tanzania sweetheart not now.....nyumbuuu!!

Kajala akamsaliti shoga ake akalala na CK live...!!!Wema akasusaa akarudi kwa diamond mwananyamala akahamishwaa akaenda kupanga Tegeta mondi akamumshawishi arudishe kila kitu cha CK yeye atamnunulia..[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3]akarudisha ofisinii!!!CK akabeba kila kilicho chake...baasii story Za wema the boss zikaishia hapooo!!no Kim no naani!!![emoji3][emoji3][emoji23][emoji2][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]!!!
 
Aahh!wapi wanyaturu akili za maendeleo wazitoe wapiii!!!s[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] amekula maisha Wemaa...mnoooo!!

Na alivofulia alifulia akawa anatembelea bajaj!!!
 
omandede!
du Mondi nae chizi!
ahahahahah
mwanaume akuchuje alafu umrudishie mali zake
ode! sifanyi hio kitu
kama umenichuja mali ulizonipa ndio mshahara wangu
 
ode!
wema anapanda bajaj?
haya yote yalitokea wakati sipo TZ nini?
Mbona kwangu mageni jamaa!

Back
Top Bottom