Hongera Mh. Lissu, lakini unajua maana ya ushindi wa 51%?

Hongera Mh. Lissu, lakini unajua maana ya ushindi wa 51%?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
 
51% inatoka wapi tena? Ni 51.5%

Hata kama ingekuwa hiyo 51% ndiye Mwenyekiti mpya, hata Spain walichukua kombe la dunia 2010 kwa ushindi wa 1-0.

Ushindi ni ushindi hata kama ni kwa penalty.
 
Hata kama Lissu angeshinda kwa kura moja, huo ungekuwa ushindi wa kuleta mabadiliko Chadema!! Hao wengine chawa wa Mbowe hawaendani na mabadiliko Chadema na wananchi wengi wanayoyataka
Maadam wanampenda sana mfalme wao Mbowe ambaye sasa ni chawa wa Samia, wangeshauriwa wamfuate Msigwa ccm kwani mtiti wa Lissu hawauwezi.
 
51% inatoka wapi tena? Ni 52.5%

Hata kama ingekuwa hiyo 51% ndiye Mwenyekiti mpya, hata Spain walichukua kombe la dunia 2010 kwa ushindi wa 1-0.

Ushindi ni ushindi hata kama ni kwa penalty.
Uhodari utaonekana pale atakaponza kusema "makamanda nyuuuuuma geuka" wote wategeuka nyuma?
 
Tuliza ramli hizo hupati mtu wakumchota. Chadema ni moja na wote walioshindwa hakuna aliejitoa mapambano yanaendelea.

Chadema sio fisiem ambako hakuna demokrasia wala uchaguzi ni kauli ya mwenyekiti tu.
Subira kwata (drill) ya Lissu ianze, hasa Ile ya mwendo wa kunyakuwa mbeeeele tembea kwenda kudai bamdari, katiba, Tanganyika, na kupunguza mamlaka ya Rais, ndio tujua kama wamebaki wamoja au la
 
1000021180.jpg
 
Uhodari utaonekana pale atakaponza kusema "makamanda nyuuuuuma geuka" wote wategeuka nyuma?
Wale watakaokataa kugeuka itabidi wamfuate mfalme wao waanzishe chama chao au wamfuate Msigwa ccm!!
 
Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
Kwahiyo unasemaje?
Heri chadema waliofanya uchaguzi
CCM ni mwendo wa udikteta tu hakuna hata uchaguzi

Kwahiyo wewe tulia
Kikubwa ni ushindi.
 
Wale watakaokataa kugeuka itabidi wamfuate mfalme wao waanzishe chama chao au wamfuate Msigwa ccm!!
Sio hivyo kaka, hawa 48.9% wako upande "noble", ni rahisi sana kwao kupata,10% ya watu kutoka upande wa 51.2% uliojaa "viasaka". Lengo langu ni kuwatahadharisha 51.2% waendeshe siasa jumuishi bila kusahau kuwa waliwashinda kwa kura 1.2% TU.
 
Maana yake Kuna 49% wapo kama hawapo, hawakukuunga mkono.. Wengi wapewe na wachache wasikilizwe, lakini hapo hakuna wengi walioshinda na wachache walioshindwa; they are more or less the same. Together we stand!!!
Acha uchuro democrasia haiko hivyo, kama mchakato ulikua wa haki, mioyo hutulizwa kwa ile haki na kuwa na mwelekeo mpya.
 
Si anasema anafanya biashara basi aende a kafamye hizo biashara!!
Nje ya uenyekiti wa Chadema hatakuwa na mafanikio ya biashara zake!!
Kwani Mzee Mtei ameshasema lolote kuhusu matokeo ya uchaguzi?
 
Back
Top Bottom