Huyu baba Mungu ampe maisha marefu, kaanza kuwapatia ajira madaktari wetu, isingekuwa yeye wangekuwa bado wanasokta mtaani, sasa katupa pole na kule bukoba alituma mashuka na mablanket, napendekeza apewe uraia wa jiji la Dar.Wakenya kupitia raisi wao ametumia muda wa sekunde kadhaa kuwasimamisha wakenya kwa shughuli zote ili kuungana nasi ktk msiba wa watoto wetu huko arusha.
Mungu akuzidishie hekima hizo baba.Umeonesha upendo kwetu.