Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

Wadau vipi kwa swaiba wetu no 1 kwa sasa Rwanda,Hajasema chochote kuhusiana na Tukio hili??
Mnisamee bure ....yule baba kwa matukio waliyopigwa mwaka 1994'Genocide....makaburi ya halaiki....hili la kwetu nadhani anaona tone dogo....
 
Hekina za Uhuru na Lowasa hazina tofauti, tabia ya mtu unaweza kuijua kupitia marafiki alionao.
Wtz wanatongozeka,rubunika kirahisi mno...mbona askari wetu walipouwawa hakutupa pole...kipindi hiki cha kampeni bila shaka anatafuta political stunt...nothing else
 
Ni jambo la faraja waliloonyesha Jubelee Uhuru Kenyata Rutto.
 
Alitoa pia Misaada wakati wa Tetemeko la Ardhi Kagera, Tuliona picha ya magari ya Jeshi la Kenya wakileta misaada.

Kenyata yupo vizuri, labda anaaply ile theory ya lipa "Baya kwa Zuri". Asante Watani zetu wa Jadi (Kenya) kupitia Rais wetu kwa Salamu zenu za Pole. Tumezipokea kwa mikono miwili.

Wakenya kupitia raisi wao ametumia muda wa sekunde kadhaa kuwasimamisha wakenya kwa shughuli zote ili kuungana nasi ktk msiba wa watoto wetu huko arusha.
Mungu akuzidishie hekima hizo baba.Umeonesha upendo kwetu.
 
Wadau vipi kwa swaiba wetu no 1 kwa sasa Rwanda,Hajasema chochote kuhusiana na Tukio hili??

Mkuu:
Hamna kitu hapo huyo ni swahiba feki, choo cha kike hicho.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kumfuata huyo swahiba.
 
Jirani zetu wa asili ni wawili tu, Kenya, Uganda. Natamani lirudi Shirikisho la Afrika Mashariki ya kweli. Hawa wengine wanuka ka-Uafrika ya Kati hivi........
 
Hata rais JPM ametuma salam za kuwapa pole jaman, pia jiulize ww hapo ulpo umewaombea hao waliopoteza maisha?
 
Ajabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.

Kawambie kuwa mwenyewe yupo anapambana na Herode kwa amri ya Cesar Agusto kuhusu orodha iandikwe. Kwahiyo Yusuf na Mariam wamekimbilia Monduli ili hiyo shughuli ikisha warudi DSM kuchukua jengo Jeupe la Mjerumani lililojengwa na Von Schee akitokea Tabora enzi za Dutch Ousta Africa company 1884 - 1919.
 
Nimempenda sana Rais wa Kenya Mh.Uhuru Kenyatta Kwa Ubinadamu wake Kwa Watanzania Na kuamua kulisimamasha Taifa lake Kwa Dakika 1 kuwaombea watoto 33 wa Kitanzania waliopatwa Na ajali Na kupoteza maisha.Hapa kwetu halijafanyika sana Redio Na Televisheni zinapiga nyimbo za furaha kama vile hazijui kama Taifa lina msiba.Bado TFF inaruhusu Yanga Na Prison kucheza mechi na leo Simba na African Lyoni badala ya kuziairisha kuonyesha majonzi.Watanzania kuweni Na mapenzi Kwa wapendwa wetu wanapopata matatizo sio kuendelea Na starehe.
 
Wapo watu wamepikwa na wakaiva kuongoza wengine..

Wengine wanakurupua watu kutoka kusikojulikana na kutegemea uongozi bora..paka hatagi yai hata siku moja!
 
Kawambie kuwa mwenyewe yupo anapambana na Herode kwa amri ya Cesar Agusto kuhusu orodha iandikwe. Kwahiyo Yusuf na Mariam wamekimbilia Monduli ili hiyo shughuli ikisha warudi DSM kuchukua jengo Jeupe la Mjerumani lililojengwa na Von Schee akitokea Tabora enzi za Dutch Ousta Africa company 1884 - 1919.
Zimefika.
 
Heshima kwa Raisi Uhuru Kenyatta tunakuombea ushinde tena uchaguzi mkuu ,Una hekima Sana mzee.
 
Nimempenda sana Rais wa Kenya Mh.Uhuru Kenyatta Kwa Ubinadamu wake Kwa Watanzania Na kuamua kulisimamasha Taifa lake Kwa Dakika 1 kuwaombea watoto 33 wa Kitanzania waliopatwa Na ajali Na kupoteza maisha.Hapa kwetu halijafanyika sana Redio Na Televisheni zinapiga nyimbo za furaha kama vile hazijui kama Taifa lina msiba.Bado TFF inaruhusu Yanga Na Prison kucheza mechi na leo Simba na African Lyoni badala ya kuziairisha kuonyesha majonzi.Watanzania kuweni Na mapenzi Kwa wapendwa wetu wanapopata matatizo sio kuendelea Na starehe.
1494161424260.jpg
Kwa heshima hii aliotuonyesha Kenyatta tunamuombea aendelee kuongoza taifa hilo kwa miaka mingine ijayo
 
Hekima na Busara ndo uongozi.Ongeza na huruma na moyo wa pole. Viongozi wengi hawana sifa hizi, nafuu Kenyatta.
 
Back
Top Bottom