Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

UK ni moja ya marais wenye utu, busara na hekima

Mfatilie toka aingie madarakani

Kenya msifanye makosa pliz
 
Na sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Nikiulizwa marais wenye busara kwa Bara la Afrika sitasita kumtaja UK, the guy is humble and down to the earth!! Huyu ndo ana haki ya kulilia kuombewa maana matendo yake yanaonesha uchaji Mungu wa hali ya juu! Mungu aibariki team UHURUTO iingie tena Ikulu kwa miaka mingine 5!!
 
Wangenyamazishwa leo ungekuwa unakula mlo mmoja wa shida na kushindia mhogo kwa pilipili?.
Huyu tuliye naye anaamini kila tatizo ni msumari kwa kuwa mkononi ameshika nyundo.
Ukweli bado suruali ya jk imempwaya.
Hatuishi kwa mkate tu
 
Hatuishi kwa mkate tu
Hata waisrael walikuwa na neno lakini wakakosa mkate ikabidi waondoke na neno ili wapate mkate.Kuwa na neno hakuzuii wewe kuuliza mkate wako.
Hata yesu alitoa mkate kwanza waliposhiba ndiyo akawapa neno.
 
Uhuru ni born town na amelelewa vizuri yaani hakuwa na maisha ya kuunga unga,ugali dagaa sijui,ugali tembele mala kwenda kuchunga ng'ombe kunywa mji hayo hayo wanayokunywa ng'ombe, kucheza mbina n.k,kifupi hajui dhiki ikoje ndiyo maana yuko poa sana.Tatizo letu hapa viongozi wengi tulionao familia zao zilikuwa choka mbaya mama muuza kindi au gongo la mavi Baba pusha au anashinda bar za mataputapu matokeo yake ndiyo hayo,yaani kiongozi anakumbuka alivyosota alivyokuwa kwa wazazi wake kwa maisha aliyoishi ya kudesh-desh mala washindie uji, kwa hiyo lazima awe na roho mbaya,mchoyo, mbinafisi,limbukeni,mshamba n.k
 
Ingekuwa ajali hii imewatokea wakenya, Dereva wa Lori angekaa kimya kama kwamba hana taarifa yoyote.
 
Uhuru ni born town na amelelewa vizuri yaani hakuwa na maisha ya kuunga unga,ugali dagaa sijui,ugali tembele mala kwenda kuchunga ng'ombe kunywa mji hayo hayo wanayokunywa ng'ombe, kucheza mbina n.k,kifupi hajui dhiki ikoje ndiyo maana yuko poa sana.Tatizo letu hapa viongozi wengi tulionao familia zao zilikuwa choka mbaya mama muuza kindi au gongo la mavi Baba pusha au anashinda bar za mataputapu matokeo yake ndiyo hayo,yaani kiongozi anakumbuka alivyosota alivyokuwa kwa wazazi wake kwa maisha aliyoishi ya kudesh-desh mala washindie uji, kwa hiyo lazima awe na roho mbaya,mchoyo, mbinafisi,limbukeni,mshamba n.k
Kama nani kwa mfano?
 
Back
Top Bottom