Stephen bryson
Senior Member
- Oct 1, 2016
- 151
- 126
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwa Raisi Uhuru Kenyatta tunakuombea ushinde tena uchaguzi mkuu ,Una hekima Sana mzee.
Kawambie kuwa mwenyewe yupo anapambana na Herode kwa amri ya Cesar Agusto kuhusu orodha iandikwe. Kwahiyo Yusuf na Mariam wamekimbilia Monduli ili hiyo shughuli ikisha warudi DSM kuchukua jengo Jeupe la Mjerumani lililojengwa na Von Schee akitokea Tabora enzi za Dutch Ousta Africa company 1884 - 1919.
Uhuru ni mtoto wa mjini sio kama wengine wamechunga ng'ombe wee wamekuja mjini kusoma chuo kikuu...full visasi wivu na husda...Na sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Heshima kwa Raisi Uhuru Kenyatta tunakuombea ushinde tena uchaguzi mkuu ,Una hekima Sana mzee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ajabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.
Kweli kabisa. Ila ukumbuke yule kakulia mjini na kasome UK. Mtu wetu ni "too excited". Mazingira muhimu ndugu.Na sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Nina mwa admire sana Kenyata. Jamaa anakosolewa sana na watu wske lakini bado yuko peace sanaUhuru kuongezewa miaka mitano na wapigakura wake kwani ni chaguo la Muumba.
Huyu mtoto hatari. Halafu anaongea kiswahili fasaha kabisa. Dah! Bravo KenyaIs this not a down to earth president, watch this video.
Ukiwafatilia kwa ukaribu marais wa East afrika utagindua kuwa Uhuru Kenyata ana busara kuliko marais wenzake wote ndani ya jumuiya ya EAC japokuwa ye ndo mdogo kiumri ukimwondoa Nkurunzinza.Wakenya kupitia raisi wao ametumia muda wa sekunde kadhaa kuwasimamisha wakenya kwa shughuli zote ili kuungana nasi ktk msiba wa watoto wetu huko arusha.
Mungu akuzidishie hekima hizo baba.Umeonesha upendo kwetu.
Nina mwa admire sana Kenyata. Jamaa anakosolewa sana na watu wske lakini bado yuko peace sana
Mkuu, wachunguze sana watu waliokulia Ikulu au katika uongozi. Wana exceptions fulani hivi ambazo zinawatofautisha na wengine.Kuna clip kama mbili za UK nimeziona moja akiwaasa wakenya kutopigana kisa wanasiasa na akawaambia yeye na wapinzani wake wanakunywa chai pamoja na clip nyingine ni hili suala la wadogo zetu sasa nimeanza kumkubali UK mwanzo nilikuwa simkubali nahisi nilimezeshwa matango pori kipindi cha kesi yake...
Kweli mkuu...Mkuu, wachunguze sana watu waliokulia Ikulu au katika uongozi. Wana exceptions fulani hivi ambazo zinawatofautisha na wengine.
Na sio kwamba hajui kuwa kuna vikao vya siri baina ya odinga na dereva wa lori,
Uhuru ni rais muungwana haonyeshi visasi.
Uhuru Kenyatta ni akili kubwa, tatizo lenu mnamlinganisha na sizonje akili ndogo