MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
- Thread starter
- #21
Halafu Edo mjanja sana ,alijua pilato wetu atatafuta kiki kwa uhuru ajioneshe kwake akawahi kutangaza wazi kuwa anamuunga mkono uk,sasa pilato akimuunga mkono odinga ni sawa na kuwaunga mkono wapinzani wa tz na uhuru akipita akawa raisi tena itakuwa aibu wakikutana kwenye saccoss yao ya mashariki.
Nimeipenda bure viva kenyata viva.
Nimeipenda bure viva kenyata viva.