Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Na.Mama.atajipima.hapahata angempeleka mumewe, sisi tunataka tu uwanja tambarare wa siasa za majukwaa na hoja
Naunga Mkono Hoja.Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Naunga Mkono Hoja.
P
Mtaka alitakiwa awe na cheo kikubwa sana either Waziri mkuu au waziri tamisemi
Jamaa kichwani yupo vizuri sana halafu hana mihemuko kufanya maamuzi ana utulivu jamaa ukienda ofisini kwake anatoa ushirikiano wa hali ya juu sana
Kama ningekuwa mimi Ndiye rais alitakiwa kuteuliwa mapema kuwa mbunge then Waziri tamisemi Jamaa namkubali sana
Kama nchi inataka watu wa kusadia nchi basi ni kutafuta vijana aina ya Mtaka na kuwalinda juu ya kuchafuka.
Hawa ndio type ya viongozi dunia ya sasa inawahitaji.
Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Dodoma SIDO iko active sana, na viwanda vidogo vidogo vya mafuta ya alizeti ni vingi sana.Kila la heri kwake! Aongeze shule zaidi za kidato cha tano na cha sita! Zilizopo ni chache ukilinganisha na hadhi ya Jiji lenyewe! Barabara nyingi Dodoma ni majanga tu, na hasa nyakati za msimu wa mvua! Maji ya Duwasa bado ni ya mgao kwenye maeneo mengi!
Vile viwanda vyake vya kule Simiyu na zile promo zake za kuhamasisha Wawekezaji, azihamishie Dodoma sasa kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili ya huo uwekezaji! Atengeneze maelfu ya ajira kwa Vijana kupitia viwanda vidogo vidogo, na pia vikundi mbalimbali vya ujasiriamali.
Mimi pia nina imani na huyu jamaa, maana anapenda action zaidi kuliko maneno! tofauti kabisa na wale Mataga wapenda kiki wa Hayati! Akina Chalamila.
Kifupi Dr. Bilinith Mahenge, alikuwa yupo yupo tu! Hakuwa na ubunifu wowote ule!
Inaitwa hekima hiyo...Wapendwa sio kila jambo ni la kupinga kha
Kama ni kiongozi mwadilifu hata kama alikuwa kwenye serikali ya mwendazake haina maana naye alibariki yote
Simfahamu kivileee lakini walio wengi wamempongeza so ni jambo jema kumpongeza
Kama kila jambo litapingwa basi hakuna aliye na sifa ya kuliongoza Taifa
Kuna wasiostahili kuongoza lakini sio wote
Tueneze Upendo Kwanza Mengine Yatakuja
Hahahhh mvua ya mawe intatokea pande ipi?