Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

Ningetamani, watu calibre ya Mttaka wangepata opportunities wakapige courses za leadership na management kwenye vyuo kama Harvard au kwingineko..hata for a month or two. Hawa ndo watakuja kulisaidia taifa letu. Wanahitaji exposure kubwa sana maana tayari wameshaonyesha uwezo wao kwenye utawala.

I imagine mtu kama JPM angepata exposure hata ya kusoma course ya Leadership huko kwa wenzetu. Huyu mzee angefanya mambo makubwa sana kwa taifa letu zaidi ya haya aliyoyafanya.

JPM was good as a technical person. But he was too mechanical!

Kama taifa tuanze mkakati maalumu wa ku-identify vijana kama Mtaka na wenzake tuanze kuwaanda.....Nadhani nimeeleweka. Siasa za ujanja ujanja haziwezi kutuvusha. tunahitaji vijana wenye exposure ya dunia na nyumbani wanayajua matatizo ya raia wenzao.

Mwenye contacts za Mtaka....nimtafute tuyajenge? anyone?

Au RC Mttaka kama umo humu hebu nicheck PM.....
 
Umewatukana wagogo lakini kwa mimi Dar ni jii kubwa na hakuna watu wanaojinasibu wajanja kama wazaramo wanaongea sana, na Dar ndio nyumbani kwao walikuwa na nyumba za babu zao Dar nzima lakini hakuna watu maskini kama wazaramo pamoja na fusra zilizokuwa mbele yao hata nyumba za babu zao wameshauza wamesogea kisarawe huko na maneno yao mengi sijawahi kusikia hata wametoa RC na sijui hata mbunge tu Dar wacha uwaziri.

Wakwere na wazaramo ndio hao hao !!! Walitoa Rais !
 
Ningetamani, watu calibre ya Mttaka wangepata opportunities wakapige courses za leadership na management kwenye vyuo kama Harvard au kwingineko..hata for a month or two. Hawa ndo watakuja kulisaidia taifa letu. Wanahitaji exposure kubwa sana maana tayari wameshaonyesha uwezo wao kwenye utawala.

Wengi tu walipelekwa huko Harvard kwenye leadership course ya mwaka mmoja lakina waliporudi wakawa wameiva na kuwa ndio proper COMPRADORS!!!
The courses taught in those institutions are geared to integrate your thinking to their system of doing things!! Hawa vijana wanatakiwa waendeleze ujuzi wao wanaopata on the field kutatua matatizo yetu ili nao wazungu waje kujifunza kwetu sio kila kitu kwenda kujifunza kwao.

I kindly refer you to listen carefully to Museveni's speech during his recent inauguration on this relevance.
 
Wengi walimtabiria kuletwa dar ....kila heri A Mtaka ....piga kazi Dom ikue kwa kasi
 
Wakwere na wazaramo ndio hao hao !!! Walitoa Rais !
Usiunganishe ukoo JK ni mkwere sio mzaramo sasa hao wagogo wameshashika nafasi za juu nyingi tu serikali mpaka Makamu wa Rais na bado wako. Mkwere wa kwanza JK wengine waliobaki wote wao ngoma tu.
 
Back
Top Bottom