utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mtaka alitakiwa awe na cheo kikubwa sana either Waziri mkuu au waziri tamisemi
Jamaa kichwani yupo vizuri sana halafu hana mihemuko kufanya maamuzi ana utulivu jamaa ukienda ofisini kwake anatoa ushirikiano wa hali ya juu sana
Kama ningekuwa mimi Ndiye rais alitakiwa kuteuliwa mapema kuwa mbunge then Waziri tamisemi Jamaa namkubali sana
Kama nchi inataka watu wa kusadia nchi basi ni kutafuta vijana aina ya Mtaka.
Na idara ya usalama wa Taifa kuwalinda juu ya kuchafuka.
Hawa ndio type ya viongozi taifa sasa linawahitaji.
unajisikiaje unapokuwa na roho ya kichawi namna hii???Mnavyomsifia sijui kafanya kitu gani special ambacho wengine wameshindwa,too much hadi kero
Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Hiv Dar wamempeleka nani?Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar. Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa. Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Hana promo ila anasifiwa jiulizeMnavyomsifia sijui kafanya kitu gani special ambacho wengine wameshindwa,too much hadi kero
Hata wewe ukifanya mambo mazuri, utasifiwa tu. Na kama unaumia sana, basi kunywa maji mengi ili upunguze shinikizo la damu mwilini!Mnavyomsifia sijui kafanya kitu gani special ambacho wengine wameshindwa,too much hadi kero
Ila watu wakimsifia wengine wataanza ulozi wao. Wachawi washindwe na walegeeViongozi waamifu tuwape madaraka ya juu. Huyu ni mwaminifu sana.
Lengo lake ni kutenda haki. Kuwasaidia watu wake.
Kifupi Dr. Bilinith Mahenge, alikuwa yupo yupo tu! Hakuwa na ubunifu wowote ule!
Mkuu wewe vipi , mbona hujakumbukwa ? nakuombea sana mkuu ili ule shavuNdugu Anthony Mtaka,
Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar.
Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa.
Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Mkuu wewe vipi , mbona hujakumbukwa ? nakuombea sana mkuu ili ule shavu
Umewatukana wagogo lakini kwa mimi Dar ni jii kubwa na hakuna watu wanaojinasibu wajanja kama wazaramo wanaongea sana, na Dar ndio nyumbani kwao walikuwa na nyumba za babu zao Dar nzima lakini hakuna watu maskini kama wazaramo pamoja na fusra zilizokuwa mbele yao hata nyumba za babu zao wameshauza wamesogea kisarawe huko na maneno yao mengi sijawahi kusikia hata wametoa RC na sijui hata mbunge tu Dar wacha uwaziri.Mlitaka Dr. Mahenge afanye ubunifu gani zaidi ya kusimamia hiyo ilani ya chama Tawala? Tuone kama Mtaka atakuja na ilaní yake tofauti!! Ajitahidi kama anaweza abuni mbinu ya kukomesha wagogo kuwa ombaomba!!!
Bonge la ubunifuNaunga Mkono Hoja.
P