auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Hongera RC MttakaNdugu Anthony Mtaka,
Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar.
Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa.
Nakutakia Kila la kheri kujenga Makao Makuu.
Umewatukana wagogo lakini kwa mimi Dar ni jii kubwa na hakuna watu wanaojinasibu wajanja kama wazaramo wanaongea sana, na Dar ndio nyumbani kwao walikuwa na nyumba za babu zao Dar nzima lakini hakuna watu maskini kama wazaramo pamoja na fusra zilizokuwa mbele yao hata nyumba za babu zao wameshauza wamesogea kisarawe huko na maneno yao mengi sijawahi kusikia hata wametoa RC na sijui hata mbunge tu Dar wacha uwaziri.
Ningetamani, watu calibre ya Mttaka wangepata opportunities wakapige courses za leadership na management kwenye vyuo kama Harvard au kwingineko..hata for a month or two. Hawa ndo watakuja kulisaidia taifa letu. Wanahitaji exposure kubwa sana maana tayari wameshaonyesha uwezo wao kwenye utawala.
Usiunganishe ukoo JK ni mkwere sio mzaramo sasa hao wagogo wameshashika nafasi za juu nyingi tu serikali mpaka Makamu wa Rais na bado wako. Mkwere wa kwanza JK wengine waliobaki wote wao ngoma tu.Wakwere na wazaramo ndio hao hao !!! Walitoa Rais !