ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama na hii imedhihirika Leo.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Hapa ndo mwisho Zamalek atakutana na 5imba mbovu
Simba ni mbovu
Ndo maana walikimbia mechi nasema tucheza tuwafunge 5imba wagonjwa
Kufika final na kuvaa medali hamuwezi