Kamtoe Tena tuone kama unayo jeuri,,si mmezoea kuroga kwa mkapa sasa kamalizieni kwao na timu yenu iyo ya kubustiwa na mwamposaFicha ujinga wako hata kwa muda. Zamalek alishawahi kutolewa na Simba tena akiwa Bingwa wa Afrika.
Unapingana na Hersi? Ameshachapisha jezi za HATUCHEZI, anawauzia na mnanunua !TUTACHEZA
Vipi kamdomo bado kapo?
Haya huyo Zamalek katolewa sasa.Shabikia timu nyingine.Wewe zezeta mfuata mkumbo.Kama unaamini kwamba kuna kuroga kwenye mpira basi wewe ni mjinga wa kupindukia .Hizo ni mind games tu.Kamtoe Tena tuone kama unayo jeuri,,si mmezoea kuroga kwa mkapa sasa kamalizieni kwao na timu yenu iyo ya kubustiwa na mwamposa
Eti mind game,,ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha hapa,,Maneno kama ayo ungekuwa unamweleza mtu asiyejitambua na asiyeijua Simba vizuri walichokifanya kwaiyo Kaa kimyaHaya huyo Zamalek katolewa sasa.Shabikia timu nyingine.Wewe zezeta mfuata mkumbo.Kama unaamini kwamba kuna kuroga kwenye mpira basi wewe ni mjinga wa kupindukia .Hizo ni mind games tu.
Acha roho mbaya utalala uote umejinyeaHuko shirikisho UMISETA ni uchafu tu
Nani anajali kuhusu mashindano takataka
Mbuzi
Koroga magadi unyweNawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Kwahiyo kipindi Yanga inacheza Shirikisho hadi inafika fainali na kuondolewa ilikuwa inacheza na Timu dhaifu ndio maana ilifika fainali sio? Mwamba nimekuelewa vizuri sana!Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama na hii imedhihirika Leo.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Hapa ndo mwisho Zamalek atakutana na 5imba mbovu
Simba ni mbovu
Ndo maana walikimbia mechi nasema tucheza tuwafunge 5imba wagonjwa
Kufika final na kuvaa medali hamuwezi
Wewe unajua wanachokifanya Simba au uzushi tu wa wauza kahawa.Huwa wanafanya nini ambacho wewe mvimba macho unakijua?Eti mind game,,ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha hapa,,Maneno kama ayo ungekuwa unamweleza mtu asiyejitambua na asiyeijua Simba vizuri walichokifanya kwaiyo Kaa kimya
Bahati mbaya huko CAFCL utopolo ndio mlikuwa hakina mama wa huko. Huko mlienda kama kiburudisho cha wanaume . Ndiyo Maana Kila kidume kilijibakia kwa kadiri kilivyotaka .Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea