Hongera mtani, ni dhahiri hii Simba Wacha itambe huko Shirikisho

Hongera mtani, ni dhahiri hii Simba Wacha itambe huko Shirikisho

Wakati mnaingia fainali ya shirikisho mlikuwa pamoja na Simba kwenye club bingwa Afrika Ila mkatolewa ndio mkacheza na timu zilizokuwa zinashuka daraja.
NA ndio mlipata pointi nyingi lakini mashindano ya Sasa yanashirikisha timu Bora huko club bingwa mlikoshindea kuvuka Kila Simba akiingia anavuka makundi punguza kamdomo
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mbona unajiaibisha....huko sisi tuna robo 4 mfululu...nyie mwakakundi hamfui dafu..
uchungu mlionao haupimiliki...
Mtazaa sooon.
Wanajizimaga sana data hawa mataahira,wao kuweka pua tu wametupiliwa mbali tena hatua ya makundi halafu ndio wepesi kuwadhihaki Simba waliofika mara nne mfululizo
 
Back
Top Bottom