Acha kulalama ....Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5
legeza tako hilo ili sindane isije kukatikia ndaniMashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno
Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama na hii imedhihirika Leo.
Hapa ndo mwisho Zamalek atakutana na 5imba mbovu
Simba ni mbovu
Ndo maana walikimbia mechi nasema tucheza tuwafunge 5imba wagonjwa
Kufika final na kuvaa medali hamuwezi
Na zamalek wanaanzia ugenini wanamalizia kwao sasa wabebe mbuzi zao na waganga wao wawapeleke misry tuone kama watatoboaMashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea
Mno
Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama
Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5
Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama na hii imedhihirika Leo.
Soma Pia: FT | Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09.04.2025
Hapa ndo mwisho Zamalek atakutana na 5imba mbovu
Simba ni mbovu
Ndo maana walikimbia mechi nasema tucheza tuwafunge 5imba wagonjwa
Kufika final na kuvaa medali hamuwezi
Tumia uchawi wako wa kukalia vibuyu kuiisaidia familia yako na ufukara uliokithiri na sio kuichawia Simba. Pole sana dogo.Na zamalek wanaanzia ugenini wanamalizia kwao sasa wabebe mbuzi zao na waganga wao wawapeleke misry tuone kama watatoboa
Uwepo wenu huko UNATOSHA,π€ππMngekuwa CAFCL je?
Wenzako huwa wanaahidi kutembea uchi na kupigwa ban Simba ikishinda. Mbona wewe huwa unakwepa kutoa ahadi?Hapa ndo mwisho Zamalek atakutana na Simba mbovu
Mbona unajiaibisha....huko sisi tuna robo 4 mfululu...nyie mwakakundi hamfui dafu..Mngekuwa CAFCL je?
Huko shirikisho UMISETA ni uchafu tuWenzako huwa wanaahidi kutembea uchi na kupigwa ban Simba ikishinda. Mbona wewe huwa unakwepa kutoa ahadi?
View attachment 3298045
Ficha ujinga wako hata kwa muda. Zamalek alishawahi kutolewa na Simba tena akiwa Bingwa wa Afrika.Na zamalek wanaanzia ugenini wanamalizia kwao sasa wabebe mbuzi zao na waganga wao wawapeleke misry tuone kama watatoboa
Kwa hiyo dabi tutacheza au bado hatuchezi?Huko shirikisho UMISETA ni uchafu tu
Nani anajali kuhusu mashindano takataka