Hongera mtani, ni dhahiri hii Simba Wacha itambe huko Shirikisho

Ficha ujinga wako hata kwa muda. Zamalek alishawahi kutolewa na Simba tena akiwa Bingwa wa Afrika.
Kamtoe Tena tuone kama unayo jeuri,,si mmezoea kuroga kwa mkapa sasa kamalizieni kwao na timu yenu iyo ya kubustiwa na mwamposa
 
Mshaanza:

1. Mwamposa
2. Masheik
3. Ushirikina.
4. Fukuza Manager...

5.
6
97651
97652. Mazoezi.
 
Kamtoe Tena tuone kama unayo jeuri,,si mmezoea kuroga kwa mkapa sasa kamalizieni kwao na timu yenu iyo ya kubustiwa na mwamposa
Haya huyo Zamalek katolewa sasa.Shabikia timu nyingine.Wewe zezeta mfuata mkumbo.Kama unaamini kwamba kuna kuroga kwenye mpira basi wewe ni mjinga wa kupindukia .Hizo ni mind games tu.
 
Haya huyo Zamalek katolewa sasa.Shabikia timu nyingine.Wewe zezeta mfuata mkumbo.Kama unaamini kwamba kuna kuroga kwenye mpira basi wewe ni mjinga wa kupindukia .Hizo ni mind games tu.
Eti mind game,,ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha hapa,,Maneno kama ayo ungekuwa unamweleza mtu asiyejitambua na asiyeijua Simba vizuri walichokifanya kwaiyo Kaa kimya
 
Kwahiyo kipindi Yanga inacheza Shirikisho hadi inafika fainali na kuondolewa ilikuwa inacheza na Timu dhaifu ndio maana ilifika fainali sio? Mwamba nimekuelewa vizuri sana!

Nakumbuka Manara aliita Losers Cup. Kwamba Yanga mlifika fainali ya Losers Cup sio? Mwamba nimekukubali!!
 
Eti mind game,,ungekaa kimya kuliko kujidhalilisha hapa,,Maneno kama ayo ungekuwa unamweleza mtu asiyejitambua na asiyeijua Simba vizuri walichokifanya kwaiyo Kaa kimya
Wewe unajua wanachokifanya Simba au uzushi tu wa wauza kahawa.Huwa wanafanya nini ambacho wewe mvimba macho unakijua?
 
Bahati mbaya huko CAFCL utopolo ndio mlikuwa hakina mama wa huko. Huko mlienda kama kiburudisho cha wanaume . Ndiyo Maana Kila kidume kilijibakia kwa kadiri kilivyotaka .
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…