Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Habari za jumapili wana JF, nimetoka unyamwezini na kuwa Kenya tangu kampeni hadi Uchaguzi jana nikaamua kuja nyumbani kutokea Namanga Arusha Moshi kisha Dar es salaam.
Kwakweli niseme wazi idadi ya trafiki na kero zao imepungua mnoo.
Nilishangaa Arusha mjini kupita vituo vingi bila trafiki kwakweli unaiona raha ya kuendesha gari.
Vivyo hivyo Moshi mpaka naingia Dar njia ilikuwa na afueni.
Hongera Comrade Kinana hili umeweza sasa nakuomba uwaharakishe maCCM wenzako mtuletee Katiba Mpya tena tuanzie kwa Warioba.