Hongera Mzee Kinana, Trafiki wamepungua

Hongera Mzee Kinana, Trafiki wamepungua

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Habari za jumapili wana JF, nimetoka unyamwezini na kuwa Kenya tangu kampeni hadi Uchaguzi jana nikaamua kuja nyumbani kutokea Namanga Arusha Moshi kisha Dar es salaam.

Kwakweli niseme wazi idadi ya trafiki na kero zao imepungua mnoo.

Nilishangaa Arusha mjini kupita vituo vingi bila trafiki kwakweli unaiona raha ya kuendesha gari.

Vivyo hivyo Moshi mpaka naingia Dar njia ilikuwa na afueni.

Hongera Comrade Kinana hili umeweza sasa nakuomba uwaharakishe maCCM wenzako mtuletee Katiba Mpya tena tuanzie kwa Warioba.
 
Kuna lidada fulani lilikuwa litrafiki limeanza kusali na kusali.

Hata likiwa linaumwa linaenda kukaa huko ili lipate mgao.

Lilishusha tofali elfu 5 za bloko siku moja, likanyanyua uzio kwenye bonge la kiwanja na likafuatia hekalu humo ndani kama ikulu ndogo.
Amemalza tu boma kanali kinana akatamka, na lenyewe linashnda tu kaunta.

Halimalz hlo geto hadi mafao
 
Nasubiri tamko lake kuhusu wafanya biashara!
Bei ya bidhaa zote za chakula, mafuta , nauli, material za Ujenzi, sio rafiki Kwa mwanainchi wa kawaida.
 
Kuna lidada fulani lilikuwa litrafiki limeanza kusali na kusali.

Hata likiwa linaumwa linaenda kukaa huko ili lipate mgao.

Lilishusha tofali elfu 5 za bloko siku moja, likanyanyua uzio kwenye bonge la kiwanja na likafuatia hekalu humo ndani kama ikulu ndogo.
Amemalza tu boma kanali kinana akatamka, na lenyewe linashnda tu kaunta.

Halimalz hlo geto hadi mafao
Duh nilikua najiuliza kama barabarani wamepungua hivi watakua wamepunguzwa na kwenye kikosi cha trafiki au wametawanywa kwingine.
 
Trafiki wamepungua lakini ajali zimeongezeka yan ukifungua tu data mtandaoni,lazima ukutane na ajali inayohusu mabasi yaendayo mkoani..na watu wanandei si mchezo,juzi,jana,leo..so sad
 
Back
Top Bottom