Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Alipoingia na kumtoa Diwani walau alieleweka. Kwa sababu kila mtu anahitaji kumpachika mtu fresh, atakayekuwa loyal kwake.

Bahati mbaya sana hakupata muda wa kusasambua na kujua ni nani haswa anastahili. Huenda Wataalam wakamnasisha na baadae anakuja kujua amelamba famba.

Kumshape aenende anavyotaka ni ngumu, anaamua kucheza karata dume. Waswahili husema 'hakuna awali mbovu' ila hapo aliboronga.


Ili pasihahiribike zaidi, bila kujali athari kaamua kumleta mwingine. Tuone matokeo.
 
Nimejaribu tu kuwaza hivi kama kustafu au kutenguliwa kwao kuna leta shida kwa nchi maana yake uadilifu wao ni mdogo sana.
Wanaweza kufanya chochote kibaya hata wakiwa ofisini bado
Kwa 'ubobezi wao' baadhi yao hawa walipaswa kubakia 'potential material' kwenye ngazi za u-RC n.k badala ya baadhi yao wale waliojidhirisha kua ni ni makapuku haswaa .... mfano juha mmoja sasa yuko Dar, na waliomtangulia pale.
 
Trump kura hazikutosha bana
 
That's The boy wonder

Umewasilisha kimkakati mno wazo lako
 

A heated debate….
[emoji1690]
 
Moyo wa nchi unapitia magumu mengi. Idara haijawahi kufanyiwa mabadiliko ya kiwango hiki. Tumuombee mzee Siwa airudishe nchi kwenye mstari. Hawa wazee wanaweza kumsaidia mama, let's hope tunaweza kuanza kuona mabadiliko

Muhimu kuisaidia [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241] ni kubwa zaidi ya hao…..
 
Rais SSH anahitaji sana msaada wa bosi wa usalama katika kipingi hiki kuliko kipindi chochote atakachokuwa Rais wa JMT. Anakwenda kuwakabidhi waarabu sehemu ya bandari yetu na ni uamuzi uliopingwa na taasisi kubwa kama ya TEC.

Ana haki ya kujizungushia ulinzi mkubwa muda huu, ni maamuzi magumu aliyoamua kuyafanya kwa faida ya ukuaji wa uchumi, ni maamuzi yasiyoeleweka kwa sasa lakini kuna muda utafika hawa hawa wanaoponda na kulalamika watakuwa wakipongeza ndani ya mioyo yao, hawataweza kutoka nje na kupongeza kwa kuona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…