Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
AnawezaJeshi la wananchi ndiyo taasisi pekee ambayo rais hawezi kutengua tengua atakavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnawezaJeshi la wananchi ndiyo taasisi pekee ambayo rais hawezi kutengua tengua atakavyo.
Samia amewapa wajomba maeneo ya Loliondo.Ujinga mweupe huo....
Umeamua kumchafua Rais kwa kuamini maneno ya watu ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Wa kizimkazi ,wa mwakakogwa-kuoga mwaka hawana mahusiano na WAARABU waliowaita babu zao WAHADIMU....
Unaujua uhadimu wewe?!!!
Makunduchi ndio "epicenter" ya WAZALENDO wa Zanzibar wanaoutukuza MUUNGANO na wasioutaka uvunjike....
Karibu wanzuki[emoji120]
Na wewe mwenyewe umezunguka zunguka bila kueleza bayana shida ya TISS ya Sasa ni nini hasa? Majungu au kipi?Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo.
Rais wangu Samia Suluhu, najua kazi ya Urais ni Ngumu Sana, ila TRUST me kwamba ni kazi rahisi sana. Tatizo wanoko ni wengi na wanaoitaka pia ni wengi.
Hata hivyo leo sizungmzii cheo chako cha URAIS bali nazungumzia Uteuzi wako wa Mkurugenzi wa TISS. Kwa uelewa na uzoefu wangu. TISS ni kama Serikali ndani ya serikali. Kwa lugha nyingine Unapoteua Mkurugenzi wa TISS ni sawa na Umeteua Alternative Preseident au Rais mbadala kwani nyenzo alizo nazo ni sawa na nyenzo ulizo nazo isipokuwa yeye anakuwa hana Political Accoutability na wakti huo huo anakuwa na njia za kutengeneza Mazingira ya Plausible Deniability.
Sasa hili ni somo ambalo unahitaji muda na utulivu ili ulielewe. Ila nataka ufahamu kwamba Mkurugenzi wa TISS kwa chini huwa anakuwa na mamlaka sawa na uliyo nayo wewe. Kama ambavyo wewe unaweza kumtengua wakati wowote basi hata yeye ana uwezo na resources za kufanya hivyo.
Sasa nimesikia umetengua na kuteua mwingine. Unachosahau ni kwamba "Once a spy, always a spy"Ukishateua Mkuu wa TISS anapata clearance kubwa sana katika masuala ya taarifa na usalama wa nchi. Anakuwa na access ya resources zote za nchi. Zaidi mwaka huu mmewatungia sheria ya kuwapa kinga ya kutowajibika kisheria which means matendo yao hata kama yatakuwa ya kihalifu bado wanaweza kuepuka wajibikaji wa kisheria.
Sasa iko hivi, kwa sasa TISS ina spy masters watatu ambao wako around na wako nje na ndani ya Mfumo, Kipilimba, Diwani, na Masoro na sasa huyu bwana Siwa.
Iko hivi hawa wote ni Spy masters whether wako nje au ndani ya mfumo.
Ndio maana unapowatoa uhakikishe kwamba unaweza kuundoa Uspy master wao na hilo unajua kwamba huwezi.
Ndio maana huwa unapotaka kumtoa usimtoe kwasababu ya Makosa ya kiusalama au kwa sababu ya umbea au kwa sababu ya kukosa uvumilivu.
Spy masters hawajibishwi kama anavyo wajibishwa waziri au DC,Spy Craft ni mchezo tofauti sana.Ukitaka kufahamu hilo JIULIZE kilichofanya Imran Kombe akauwawa kama JAMBAZI ilihali wengine waliowahi kuwa wakuu wa kitengo waliendelea kuwepo ingawa baada ya wao na kujaribu ku activate mitandao yao walipigwa na kitu kizito.
Sasa umeteua DG mpya ambaye bila shaka unalo file lake na huenda linakuvutia hasa ukizngatia kwamba alishakaa kwa PAKA so anaweza kuwa na ka cv kazuri ila TRUST me huenda kwenye MEZA yako kuna mafili ambayo bado hujayasoma na kuyapitia vizuri na ukija kuyafikia unaweza kushawishika kufanya uteuzi mwingine tena ambalo nalo litakiwa kosa la KIMKAKATI.
Hawa jamaa wote wanaweza wa "Kagang UP" against you na hakuna unachoweza kufanya kwa sababa wanayo access ya taarifa na resources ambazo ww unajua uwezo wake.
Sasa lengo sio kuleta hofu bali kuchokoza mjadala tu kuhusu tatizo lililoko katika IDARA yetu ya USALAMA wa TAIFA.
Ila uelewe vizuri nitakukumbusha hadithi ya bwana Mdogo Ole Sabaya ambaye aliwahi hata kufoji kitambulisho ka cha TISS na kujiita Afisa Kipenyo wakati akiwa mwenyekiti wa UVCCM Arusha na wapo wengi kama yeye, So unapobadili Wakurugenzi Jiulize iwapo Tatizo ni TISS au ni Wakurgenzi wa TISS?
Madam President, Fahamu kwamba TISS sio CID wala sio Military Intelligence UNIT ingawa kimajukumu, TISS anaweza kuingia katika hayo maeneo yote ila sio CID wal MIU wanaweza kuingia katika maeneo ya TISS so ni muhimu tukajiuliza iwapo TISS imevamiwa na KIRUSI na inahitaji kupigwa Immune Booster nani ataipiga immune booster?
Kuna kipindi mm binafsi niliona au kuhisi kwamba Utawala wako uliamua kutumia JU(Jeshi la kupambana na Ujangili kama TISS mpya so nikafikiri umegundua TATIZO na unalitafutia Suluhu kama Ulivyo wewe.
Tatizo kwa sisi wenye macho ya Rohoni tuliingia katika Sala, maombi na kufunga na tukagundua kwamba kulikuwa tu na mambo fulani ya wajomba zako ulikuwa unawatumia jamaa wa juu kuyaweka Sawa. Anyway hiyo issue kila mtu atakuwa ameshaijua hasa tukisikia stori za Loliondo
Sasa fahamu hili, huwezi kupata TISS bora kwa kutumia TISS katika muundo na utaratibu wake wa Sasa. TISS ambayo ilifanya kazi enzi za Mwalimu sio Sawa na TISS ambayo inafanya kazi enzi hizi. Imagine mimi hapa nilipo nawez kuona patern of errors unazofanya bila hata kuwa na taarifa za jikoni unadhani hao ambao wana access ya taarifa za jikoni wanaona nini kama sio zaidi ya haya.
Sasa nataka ujilulize. Je unafikiri TISS ni kama wizara ambapo unaweza kubadili katibu mkuu na kazi ikaendelea? Hapana.SPIES are trained not TRUST.
So kadiri unavyoleta na kubadili wakuu wa TISS ndivyo idadi ya MOLES inaongezeka ndani ya IDARA na Badala ya kuwa idara ya Usalama wa Taifa na inakuwa ni Idara ya Kupika Majungu, vijembe, fitna na kukomoana. TRUST me ikiendelea kuwa hivyo hata wewe utapewa Majungu, utapigwa vijembe utafanyiwa Fitna na hata kukomolewa mwishoni Utakumbuka Kamsemo "WHo will Watch the Watchers"
Nimechokoza mjadili, hayo mengine sijui kama ni ya kweli niko hapa pembeni ninaendelea kupata Madini wala sijajificha.
Bila shaka ili lina-apply kote kuanzia juu hadi chini. Hakuna aliye mkubwa kuliko Taifa.Ko mkuu mtu kateuliwa, halafu hafanyi vizuri tumuache? Akizingua hata huyu atolewe tu, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa kwamba una chance hata ukizingua tusikutoe kisa ni spy master
Kuposti kwa makini,, macho yako huku...Uzi umekaa kiusalama huu[emoji4]
Hatujafikia huko ila kama atakuwa amefikia kiwango Cha kuhatarisha hivyo naunga mkono kupewa kitu Kizito.Muu,sijasema usimtoe nimesema hao sio MADC ambao unawatoa tu.Spy Master Akizingu unampa kitu kizito kama Vladmir Puttin kwa yule boss wa Wagner.ILA hakikisha amezingua kweli sio Kakataa ujinga wako then useme itakuwa Rahisi kwako kumuondoa....
Unaogopa ilihali uko katika Taifa teule kushinda yote Afrika?!!!Huu Uzi unanitisha sana. Nimeusoma nimeogopa sana. Sijui kwanini. Mungu ibariki Tanzania
Conspiracy theories...Alikuwaga ubalozi Abu Dhabi ambako ndiyo makao makuu ya UAE ambako Dubai ni jimbo dada. Sasa sababu ni DP World au….
Alikataa uteuzi,Hivi Msuya alipelekwa wapi?
Akina Tuntemeke Sanga?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Uko mbele hizi nafasi 2 za juu wakae wasomi kwa kweli. Namba 1 sidhani kama anaelewa lolote pale juu kiukweli. Yeye ni kuwa briefed tu.
Wenye shida ni ninyi, wa baba kamlete wala sio hao UVCCM.UVCCM Wamejaa huko
Ushahidi?Samia amewapa wajomba maeneo ya Loliondo.
Mchochezi wewe...Samia yupo kuwapa wajomba/Waarabu nchi yote.
Huu Ni ubia Kati yake na wajomba zake. Wanajibinafsishia kila kitu na rasilimali za nchi hii ziztakua Mali zao binafsi.
Kitanzania tumelala tu
Hataki kufanyia kazi report za CAG, bandari ndo hizo bye bye, mafuta,rushwa imetamaraki nimepta shule ya msingi Mageleza Tabora mamia ya wanafunzi wamekaa chini nje ya madarasa wanafanya mitihani kisa vyumba vya madarasa na madawati hakuna. Halafu eti alikuwa busy na kununua magoli ya kina MayeleUnamaanisha nini ?!!
Unataka kusema nini mkuu wangu....tujuze kaka