Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Samia amewapa wajomba maeneo ya Loliondo.
 
Na wewe mwenyewe umezunguka zunguka bila kueleza bayana shida ya TISS ya Sasa ni nini hasa? Majungu au kipi?
 
Muu,sijasema usimtoe nimesema hao sio MADC ambao unawatoa tu.Spy Master Akizingu unampa kitu kizito kama Vladmir Puttin kwa yule boss wa Wagner.ILA hakikisha amezingua kweli sio Kakataa ujinga wako then useme itakuwa Rahisi kwako kumuondoa....
Hatujafikia huko ila kama atakuwa amefikia kiwango Cha kuhatarisha hivyo naunga mkono kupewa kitu Kizito.

Hizi taasisi au Wakubwa wanaishi Kwa Imani Kwa Kiongozi kama ulivyosema Wana access ya resources kama tuu za Rais even more so kama hakuna kuaminiana ni ujanja wa aliyeteua ku act haraka kulingana na mwenendo wa mtu.
 
Huu Uzi unanitisha sana. Nimeusoma nimeogopa sana. Sijui kwanini. Mungu ibariki Tanzania
Unaogopa ilihali uko katika Taifa teule kushinda yote Afrika?!!!

Uwe na amani....

Taifa hili linalindwa vyema na nguvu za MWENYEZI MUNGU na mizimu yetu tuliyoifanyia matambiko kule Bagamoyo....sisi vijana hatujasoma kuhusu yale matambiko mazito yaliyofanywa huko ?!!

Mwenyezi Mungu amrehemu baba wa taifa hayati JKN amen l[emoji120]

JKN ni zawadi "ya KIPEKEE" kwa taifa hili[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Uko mbele hizi nafasi 2 za juu wakae wasomi kwa kweli. Namba 1 sidhani kama anaelewa lolote pale juu kiukweli. Yeye ni kuwa briefed tu.
Akina Tuntemeke Sanga?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hujayasoma yale yaliyomkuta?!!

Urais si uprofesa.....urais si PhD....acha ujinga [emoji1787]

Karibu wanzuki [emoji120]
 
Samia yupo kuwapa wajomba/Waarabu nchi yote.

Huu Ni ubia Kati yake na wajomba zake. Wanajibinafsishia kila kitu na rasilimali za nchi hii ziztakua Mali zao binafsi.

Kitanzania tumelala tu
Mchochezi wewe...

Muasi wa taifa lako wewe...

Mwongo mkubwa wewe....

Samia na WAARABU wapi na wapi ?!!

HAKUNA wamakonde ambao wajomba zao wanatafutia maisha Dubai na Oman ?!!!

Ulikwenda shule kusomea "kupakwa mafuta" ili siku ukifa uende kaburini na "matuuunduuurrr" ngw'enyu?!!!
 
Unamaanisha nini ?!!

Unataka kusema nini mkuu wangu....tujuze kaka
Hataki kufanyia kazi report za CAG, bandari ndo hizo bye bye, mafuta,rushwa imetamaraki nimepta shule ya msingi Mageleza Tabora mamia ya wanafunzi wamekaa chini nje ya madarasa wanafanya mitihani kisa vyumba vya madarasa na madawati hakuna. Halafu eti alikuwa busy na kununua magoli ya kina Mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…