Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Muu,sijasema usimtoe nimesema hao sio MADC ambao unawatoa tu.Spy Master Akizingu unampa kitu kizito kama Vladmir Puttin kwa yule boss wa Wagner.ILA hakikisha amezingua kweli sio Kakataa ujinga wako then useme itakuwa Rahisi kwako kumuondoa....
Kuna Jambo hapa! Ubongokid, nimetafakari sana andiko lako! unayo mengi sana kichwani, ni vile nafasi haikuruhusu kuyasema.
 
Nchi hii Rais ni Mungu mtu anaweza kuwabadili hao wakurugenzi hata kila baada ya mwezi na hakuna kitakachoharibika.

Ukishatoka nje ya mfumo huna uwezo ama jeuri ya kufurukuta. Yote uliyoyaandika ni porojo za vijiweni tu kudhani mkurugenzi ana mamlaka unayotaka kujiaminisha.

Yaani mkurugenzi mkuu wa idara tu awe na nguvu na mamlaka aliyonayo mkuu wa nchi? Ridiculous.
 
Hapo kwa nimran kombe sikuungi mkono hata kodogo kuwa eti kuwa kwa sababu labda walihofia siri kuvujosha hapana.
Yule kilichomponza ni lyatonga mrema kipindia anagombea urais huyu jamaa alikuwa anampa siri nzito sana pamoja na kumuunga mkono . Hii ndio ilimponza macho ya makamisaa yakammumika gafla.
Naomba niishie hapo
 
Kwangu mimi huu uzi ni moja ya nyuzi nzuri kuhusiana na intelligence.
Umetumia maneno madogo kwa nje ila yamebeba maana kubwa kwa ndani.
Ngoja nianze kufuatilia nyuzi zako inaonekana una madini sana.
Thanks for good analyse.
 
Sasa umekataa na kukubali kwawakti mmoja.Anyway Tatioz mitaala yetu haifundishi critical thinking.Ila umejitahidi
 
Muu,sijasema usimtoe nimesema hao sio MADC ambao unawatoa tu.Spy Master Akizingu unampa kitu kizito kama Vladmir Puttin kwa yule boss wa Wagner.ILA hakikisha amezingua kweli sio Kakataa ujinga wako then useme itakuwa Rahisi kwako kumuondoa....
Ukionesha kwenda kinyume na matakwa ya mteuaji unawekwa kando hata uwe nani na hakuna utakachofanya na u spy master wako.

Wangapi wamewekwa pembeni hao wakurugenzi wakuu na hawafurukuti kwa lolote?

Huwa mnajidanganya sana kudhani hiyo idara ina nguvu kiasi hicho.

Idara yenyewe inapokea maagizo hata kutoka kwa mwenyekiti wa uvccm halafu ulinganishe na nguvu ya mkuu wa nchi?
 
Nimejiuliza sana lengo la sponsor hasa ni nini?
Nilihisi mambo yale yangeleta tafrani lakini sikuwaza yatafikia huku.
“Trust will get you killed “
 
Sijui hata nikujibu nini,Ila asante kwa kushiriki.
 
Hujui unachosema mkuu!
 
Ila TISS yeye anaingia popote pale ndio maana wanamwaga kila sehemu ila zamani kumjua ilikuwa ngumu sana sikuiz tunawajua
 
Ila ni kama taa nyekundu zimewashwa
Kabisa, tulikokuwa tunaelekea siyo kabisa.
Kikubwa tunaiomba idara chini ya DG mpya itangulize uzalendo na maslahi ya nchi badala ya kutanguliza maslahi ya kikundi cha wahuni wachache.
Tanzania ni nchi ya neema sana.
Haya maisha tunayoishi Watanzania wengi siyo staili yetu kabisa.
We deserve better than this!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…