Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

Je Unafikiri uteuzi DG MPYA TISS kila wakati una maslahi kwa USALAMA wa TAIFA?

  • Ndio

    Votes: 46 22.1%
  • Hapana

    Votes: 162 77.9%

  • Total voters
    208
Duh ila ukitafakari si dalili nzuri, ndani ya miaka 10 tumekuwa na Spy Masters watano!!

Toka Uhuru tumekuwa na DGs sita tu hadi mwaka 2005 - 2023 DG watano! Othman, Kipilimba, Diwani, Nasoro, Siwa! Means baada ya Apson vurugu zikaanza. Sijui nini kinaendelea maana hata Polisi haijawahi kutokea kitu kama hiki.
 
Sikilizia milio inayokuja hivi karibuni....

Sikilizia...utamjua kuwa mh.Rais SSH si mtu wa mchezomchezo....
 
"spies are TRAINED not TRUST" watatu wapo nje na wana access.......nimeogopa aliposema 'hawatolewi kwa sababu ya makosa ' the man know something!
Acha kutishwa na hizi story za nadharia. Hii idara imekuwa overrated tofauti na uhalisia wake.

Huyo kaondolewa biashara yake imeishia hapo hana access ya kufanya chochote ndani ya idara.
 
Hilo Libibi hata lifanyeje litaondoka tu, yupo kipindi cha mpito na hawezi kufanya ujinga kwenye ofisi kuu
 
Ila kupata kiongozi ambaye hana tamaa ni ngumu sana ndio maana marekani ili uwe rais kidogo finacial yako iwe imekaa vizuri sasa uku mtoto wa mkulima uko ludewa anakuja kuwa rais finacial yake ndogo kwanini asiweke uzalendo pembeni

Tumeona kutoka chato wasukuma wengi walikuwa wanatupwa kule kusini

Nyerere pia wakulya wengi walitupwa jeshini

Tustuke kudigo tuchague mtu ako na akili sawa kichwani
 
Shida hawajui kusimamia majukumu yao
 
Ni uzi mzito
 
Moyo wa nchi unapitia magumu mengi. Idara haijawahi kufanyiwa mabadiliko ya kiwango hiki. Tumuombee mzee Siwa airudishe nchi kwenye mstari. Hawa wazee wanaweza kumsaidia mama, let's hope tunaweza kuanza kuona mabadiliko
Wakuirudisha nchi kwenye mstari ni wananchi tu kupitia mabadiliko ya viongozi wanaowapa dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…