Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Jamaa kaumia yule, sidhani Kama atacheza na mamelod,yao mwenyewe hamstring ni wiki tatu,yanga hii mechi wangeichukulia poa tu
Tatizo anataka kwenda na flows za mahabiki wanomfananisha na mchezaji ambaye sio level yake

Anajikuta anacheza performance ya mchezaji mwingine mwishowe anakosea anaangukia majeraha.

Ndio maana unaona unnecessary injuries kama hizi.

Angekuwa anajichezea kwa mfumo wake aliozaliwa nao bila kutaka kuwa kama mchezaji mwingine hayo yote yasingemkuta.
 
Tatizo anataka kwenda na flows za mahabiki wanomfananisha na mchezaji ambaye sio level yake

Anacheza performance ya mchezaji mwingine.

Ndio maana unaona unnecessary injuries kama hizi.

Angekuwa anajichezea kwa mfumo wake aliozaliwa nao bila kutaka kuwa kama mchezaji mwingine hayo yote yasingemkuta.
Hakuna mchezaji Kama pacome NBC premier league
 
Hamjaanza leo na hizo sinema zenu.

Na huyu pia hatokuwa wa mwisho kumfananisha na Chama.

Mwisho wa haya yote ni mpaka pale Chama atakapoondoka Simba au kustafu mpira
Chama mchezaji mguu mmoja mfupi,kukimbia shida,mpaka akabwe na akina andambwile ndiyo aonekane wa maana, Morocco pamemshinda
 
Kwamba mechi ya kule Tanga Azam anapigwa goli mbili kavu, na mechi ya mzunguko wa kwanza Azam walipopigwa goli tatu, hao wakina Fei toto hawakuwepo. Poop poop popoma on one and two.
Tutaona kila rangi leo😂😂😂
 
Ule ndo mdomo wa utopolo mkuu.... kwa hiyo kufurahi muhimu
Mkuu huyo jamaa akiwa na mpira mguuni kama unasumaku vile, linakokota hatari likiachia pass ya mwisho lazima madhara yatokee. .
 
Hamjaanza leo na hizo sinema zenu.

Na huyu pia hatokuwa wa mwisho kumfananisha na Chama.

Mwisho wa haya yote ni mpaka pale Chama atakapoondoka Simba au kustafu mpira

Wanayemfananisha Pacome na Chama ni mashabiki wa simba , sio yanga

Hizi kelele za chama vs Pacome zimeanza baada ya simba kumfunga jwaneng 6 bila , ambapo mashabiki wa simba ndo wakaleta hio hoja kisa ali perform vzr mechi hio .
 
Chama mchezaji mguu mmoja mfupi,kukimbia shida,mpaka akabwe na akina andambwile ndiyo aonekane wa maana, Morocco pamemshinda..weka Pedi vizuri,mkiwa hedhi mnakua na fikra za ajabu
Kukimbia ni sifa ya mwizi.

Yule Kisinda aliyekuwa anakimbia sana vipi bado yupo hapo Utopoloni?

Na huyo naye si ndio alikuwa kwenye ile list ya wachezaji waliofananishwa na Chama?
 
Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa.

Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
Akili fupi
 
Wanayemfananisha Pacome na Chama ni mashabiki wa simba , sio yanga

Hizi kelele za chama vs Pacome zimeanza baada ya simba kumfunga jwaneng 6 bila , ambapo mashabiki wa simba ndo wakaleta hio hoja kisa ali perform vzr mechi hio .
Ni eidha hujui au unajua ila umeamua kudata tu kwasababu ya kipigo cha leo.

Mjadala wa Chama na Pacome ulianzia kwenye mechi ya mwisho na Galaxy?
 
Kukimbia ni sifa ya mwizi.

Yule Kisinda aliyekuwa anakimbia yuko bado yupo hapo Utopoloni?

Na huyo naye si ndio alikuwa kwenye ile list ya ha wachezaji waliofananishwa na Chama?
Kisinda Yuko berkane alikoshindwa huyo kigulu asiyeweza kucheza ligi yoyote Bali ligi wanayocheza mashujaa
 
Kisinda Yuko berkane alikoshindwa huyo kigulu asiyeweza kucheza ligi yoyote Bali ligi wanayocheza mashujaa
Berkane ni ya ngapi kwenye ubora wa CAF?

Simba ni ya 5. Berkane ya ngapi?

Kivipi Club yenye rank ndogo iweze kuwa na mbinu za kumtumia mchezaji aliyetoka kwenye Club yenye rank kubwa?
 
Ni eidha hujui au unajua ila umeamua kudata tu kwasababu ya kipigo cha leo.

Mjadala wa Chama na Pacome ulianzia kwenye mechi ya mwisho na Galaxy?
We jamaa haujui mpira goli la offiside unalipigia kelele
 
Berkane ni ya ngapi kwenye ubora wa CAF?

Simba ni ya 5. Berkane ya ngapi?

Kivipi Club yenye rank ndogo iweze kuwa na mbinu za kumtumia mchezaji aliyetoka kwenye Club yenye rank kubwa?
Simba alishawahi kubeba ligi ya mabingwa
 
Back
Top Bottom