Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Goli la offside la nani?

Goli lenu la tano kwenye mechi ya Ihefu uliliona?
Atuzungumziii Ihefu tunaisemea mechi ya leo
20240317_235330.jpg
 
Berkane ni ya ngapi kwenye ubora wa CAF?

Simba ni ya 5. Berkane ya ngapi?

Kivipi Club yenye rank ndogo iweze kuwa na mbinu za kumtumia mchezaji aliyetoka kwenye Club yenye rank kubwa?
Ila luis alitoka rank ndogo akaenda Al Ahly rank kubwa akashindwa, akarudi rank ndogo akashindwa
 
Wewe si unayo yako si uweke
Mimi sina interest kwenye hii case siwezi kujisumbua

Sisi tunachojua ni kwamba mmelambwa viwili basi.

Hayo mengine sijui refa kafanya hivi mara kibendera kafanya vile ni kutafuta sababu tu kwasababu matukio kama hayo yametokea upande wenu juzi hapo na pengine hata kulisemea hilo hukuthubutu
 
Mimi najua ni WA kwanza wewe wa tatu
20240318_000332.jpg
 
Tajiri hawezi kuwa humu,ulianza wewe kumuingiza mama yangu
Yanga imefungwa na wewe JF umefungwa

Baada ya wachezaji wenu kushindwa kutumia miguu ipasavyo ili kuwaletea furaha mnakuja JF kutumia midomo bila tahadhari kufosi furaha.

Mwisho mnajikuta mmefungwa nje ndani.

Muwe mnaangalia na timu za kushabikia
 
Kala ban
 
Back
Top Bottom