Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Sasa kukufananisha na dada ndo apigwe ban!?..ulishawahi nadi jinsia yako humu mkuu?
Kama sijawahi nadi jinsia yangu unaona ni sahihi yeye kunipakazia jinsia yeyote?

Kwanini asiniulize jinsia yangu asikie majibu kutoka kwangu?
 
Wanayemfananisha Pacome na Chama ni mashabiki wa simba , sio yanga

Hizi kelele za chama vs Pacome zimeanza baada ya simba kumfunga jwaneng 6 bila , ambapo mashabiki wa simba ndo wakaleta hio hoja kisa ali perform vzr mechi hio .
Yanga ndio wenye tabia ya kuwafananisha wachezaji wao na Chamma kuanzia Morrison,Feisal,Aziz Ki na saaa Pacome
 
Kwamba mechi ya kule Tanga Azam anapigwa goli mbili kavu, na mechi ya mzunguko wa kwanza Azam walipopigwa goli tatu, hao wakina Fei toto hawakuwepo. Poop poop popoma on one and two.
Kulikuwa na maduka yenu kina Bangala ambayo kocha dialo kayashtukia na kuamua kuyaweka benchi .

Azam inahujumiwa sana na maduka ya Yanga.
 
Kama sijawahi nadi jinsia yangu unaona ni sahihi yeye kunipakazia jinsia yeyote?

Kwanini asiniulize jinsia yangu asikie majibu kutoka kwangu?
Mbona wengi tu wanaitana mama,dada,shangazi na hawapigwi ban!?..au we ni moderator?..au unajuana nao?
 
Mbona wengi tu wanaitana mama,dada,shangazi na hawapigwi ban!?..au we ni moderator?..au unajuana nao?
Ukiona hivyo ujue hao wanatambuana jinsia zao au wamekubaliana.

Lakini Mkuu kuanzia saizi utafurahi kuniruhusu nikuite mama, dada au binti?

Ukinipa go ahead wala haitakuwa tusi tena kwasababu utakuwa ume consent mwenyewe
 
Kukimbia ni sifa ya mwizi.

Yule Kisinda aliyekuwa anakimbia sana vipi bado yupo hapo Utopoloni?

Na huyo naye si ndio alikuwa kwenye ile list ya wachezaji waliofananishwa na Chama?
Mkuu umeongea kitaalamu sana hapa mtu asiyekuwa na mihemuko atakuwa amekuelewa 95.5%. Appreciated!
 
Hilo kwa sasa sio muhimu

Labda mkiwa peke yenu huko mnaweza kutumia neno hilo kama faraja kupoza machungu
Hata nyie Simba mtatufunga tarehe 13 lakini Kombe ni la Yanga mwaka huu.

Yanga kufungwa na Azamu NI FARAJA KUBWA SANA KWENU na pia nyie Simba mtakapoifunga Yanga MTAZIDI KUFARIJIKA KWASABABU MNAJUA KOMBE SIO LENU SAFARI HII TENA.

NA MAUMIVU YA KUWAFUNGA 5 BANDO LAKE NI LA MIAKA 10 kudadadeki kuku nyie
 
Tatizo anataka kwenda na flows za mahabiki wanomfananisha na mchezaji ambaye sio level yake

Anajikuta anacheza performance ya mchezaji mwingine mwishowe anakosea anaangukia majeraha.

Ndio maana unaona unnecessary injuries kama hizi.

Angekuwa anajichezea kwa mfumo wake aliozaliwa nao bila kutaka kuwa kama mchezaji mwingine hayo yote yasingemkuta.
Ukweli wasiotakaa kuusikia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni eidha hujui au unajua ila umeamua kudata tu kwasababu ya kipigo cha leo.

Mjadala wa Chama na Pacome ulianzia kwenye mechi ya mwisho na Galaxy?
Wamevurugwaaa kabisaaa hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mchezaji Kama pacome NBC premier league
Na haitakaa itokee vile Pakome ni mmoja tu, pia hakuna mchezaji ktk NBC ligi yote kama Fei Salum, Kibu au Diara
Kila mchezaji ana namna yake na ni mmoja pekee
 
Back
Top Bottom