Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Anataka kuwa warrior kwa mdomo baada ya kuona wachezaji wake wameshindwa kuwa warrior kupitia miguu yao.Kala ban
Ukifungwa tulia kuwa mpole
Huwezi ukafungwa na ukawa na power ya mdomo kutaka kuwazima wapinzani wako kwa kebehi
Ni lazima tu utajikuta umetukana.
Hao si walitufunga sie 5, sasa unafikiri kwa leo hizo 5 zitasaidia chochote kupunguza makali ya sisi kuongea?
Anatakiwa ajifunze ku handle emotions