Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Tatizo anataka kwenda na flows za mahabiki wanomfananisha na mchezaji ambaye sio level yakeJamaa kaumia yule, sidhani Kama atacheza na mamelod,yao mwenyewe hamstring ni wiki tatu,yanga hii mechi wangeichukulia poa tu
Hakuna mchezaji Kama pacome NBC premier leagueTatizo anataka kwenda na flows za mahabiki wanomfananisha na mchezaji ambaye sio level yake
Anacheza performance ya mchezaji mwingine.
Ndio maana unaona unnecessary injuries kama hizi.
Angekuwa anajichezea kwa mfumo wake aliozaliwa nao bila kutaka kuwa kama mchezaji mwingine hayo yote yasingemkuta.
Ule ndo mdomo wa utopolo mkuu.... kwa hiyo kufurahi muhimuKikweli kuumia kwake imenifurahisha sana...sijui nimeanza kuwa mchawi?
Chama mchezaji mguu mmoja mfupi,kukimbia shida,mpaka akabwe na akina andambwile ndiyo aonekane wa maana, Morocco pamemshindaHamjaanza leo na hizo sinema zenu.
Na huyu pia hatokuwa wa mwisho kumfananisha na Chama.
Mwisho wa haya yote ni mpaka pale Chama atakapoondoka Simba au kustafu mpira
Tutaona kila rangi leo😂😂😂Kwamba mechi ya kule Tanga Azam anapigwa goli mbili kavu, na mechi ya mzunguko wa kwanza Azam walipopigwa goli tatu, hao wakina Fei toto hawakuwepo. Poop poop popoma on one and two.
Mkuu huyo jamaa akiwa na mpira mguuni kama unasumaku vile, linakokota hatari likiachia pass ya mwisho lazima madhara yatokee. .Ule ndo mdomo wa utopolo mkuu.... kwa hiyo kufurahi muhimu
Hamjaanza leo na hizo sinema zenu.
Na huyu pia hatokuwa wa mwisho kumfananisha na Chama.
Mwisho wa haya yote ni mpaka pale Chama atakapoondoka Simba au kustafu mpira
Kukimbia ni sifa ya mwizi.Chama mchezaji mguu mmoja mfupi,kukimbia shida,mpaka akabwe na akina andambwile ndiyo aonekane wa maana, Morocco pamemshinda..weka Pedi vizuri,mkiwa hedhi mnakua na fikra za ajabu
Akili fupiPacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa.
Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
Ni eidha hujui au unajua ila umeamua kudata tu kwasababu ya kipigo cha leo.Wanayemfananisha Pacome na Chama ni mashabiki wa simba , sio yanga
Hizi kelele za chama vs Pacome zimeanza baada ya simba kumfunga jwaneng 6 bila , ambapo mashabiki wa simba ndo wakaleta hio hoja kisa ali perform vzr mechi hio .
Kisinda Yuko berkane alikoshindwa huyo kigulu asiyeweza kucheza ligi yoyote Bali ligi wanayocheza mashujaaKukimbia ni sifa ya mwizi.
Yule Kisinda aliyekuwa anakimbia yuko bado yupo hapo Utopoloni?
Na huyo naye si ndio alikuwa kwenye ile list ya ha wachezaji waliofananishwa na Chama?
Berkane ni ya ngapi kwenye ubora wa CAF?Kisinda Yuko berkane alikoshindwa huyo kigulu asiyeweza kucheza ligi yoyote Bali ligi wanayocheza mashujaa
We jamaa haujui mpira goli la offiside unalipigia keleleNi eidha hujui au unajua ila umeamua kudata tu kwasababu ya kipigo cha leo.
Mjadala wa Chama na Pacome ulianzia kwenye mechi ya mwisho na Galaxy?
Simba alishawahi kubeba ligi ya mabingwaBerkane ni ya ngapi kwenye ubora wa CAF?
Simba ni ya 5. Berkane ya ngapi?
Kivipi Club yenye rank ndogo iweze kuwa na mbinu za kumtumia mchezaji aliyetoka kwenye Club yenye rank kubwa?
Goli la offside la nani?We jamaa haujui mpira goli la offiside unalipigia kelele